Baadhi ya viongozi hawana sifa za kuongoza

UtdProfile_

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
255
Reaction score
314
Serikali yetu inapitia Changamoto pia ya Kuwa na Viongozi ambao hawajui dhamana yao, kazi zao, wajibu wao, lengo la kuwa eneo hilo.

Hawajui namna ya kuishi na Raia ambao 2025 utarudi tena kwao kuomba kura🤔🤔🤔

Nape Nnauye ndio namba moja wao kati ya viongozi wajinga.
 
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
 
Achana na huko juu, Yani Huku CHINI serikali za mitaa kwa MAANA ya watendaji wa kata na Miata ndo Kuna kilio, pameozaa Hawa hawaujui dhamana zao na WANAIKOSANISHA SERIKALI na WANANCHI wao... Sijui kwanini mabadiliko hayafanyiki. Kama hakutakuwa na mkeka mpya Huku chini (serikali za mitaa) ambalo ndio Kila siku wanakutana na wananchi sijui itakuwaje 24/25
 
Makumu wa raisi akihutubia kongamano la vijana hapo jana amesema kwamba tatizo kubwa kwenye nchi hii ni kuwa na wimbi kubwa la vijana wenye tamaa ya kupata utajiri wa haraka.
Amewataka vijana kuwa wazalendo na wawajibikaji Kwan hatma ya taifa hili IPO mkononi mwao .
 
Je, kwa upande wako unadhani yupo Sahihi. Yaani tayari wanaongea waziwazi kuwa wao ndio kila kitu kwenyee hii nchi😭😭😭😭
 
Achana na huko juu, Yani Huku CHINI serikali za mitaa kwa MAANA ya watendaji wa kata na Miata ndo Kuna kilio, pameozaa Hawa hawaujui dhamana zao na WANAIKOSANISHA SERIKALI na WANANCHI wao... Sijui kwanini mabadiliko hayafanyiki. Kama hakutakuwa na mkeka mpya Huku chini (serikali za mitaa) ambalo ndio Kila siku wanakutana na wananchi sijui itakuwaje 24/25

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hiyooo 24/25 ni mwaka wa kikatilii nakuambiaaa✍️✍️✍️
 
Je, kwa upande wako unadhani yupo Sahihi. Yaani tayari wanaongea waziwazi kuwa wao ndio kila kitu kwenyee hii nchi😭😭😭😭
Makosa yanaonekana wazi kwamba nchii hii inaongozwa na utashi wa wahuni wachache..
 
We chawa unaweza kumkata mitama mtoa mada?
Akili zao Fyatuu hawajielewii hao, wasengewasenge, mtu unaejielewa huwezi pelekwa pelekwa kama Zuzu au Ndondocha kila kitu yes kila kitu yes
 
Back
Top Bottom