UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
😂😂😂😂😂😂😂Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
Sanaaa,Tanzania hamna uwajibikaji ndio maana hatuendelei
Je, kwa upande wako unadhani yupo Sahihi. Yaani tayari wanaongea waziwazi kuwa wao ndio kila kitu kwenyee hii nchi😭😭😭😭Makumu wa raisi akihutubia kongamano la vijana hapo jana amesema kwamba tatizo kubwa kwenye nchi hii ni kuwa na wimbi kubwa la vijana wenye tamaa ya kupata utajiri wa haraka.
Amewataka vijana kuwa wazalendo na wawajibikaji Kwan hatma ya taifa hili IPO mkononi mwao .
Ole wako akusikie MamaSamia2025 na wale ChawaWaMama utawaelezaNape Nnauye ndio namba moja wao kati ya viongozi wajinga.
Tutamtafuta tumkate mitama ya hapa na pale!Ole wako akusikie MamaSamia2025 na wale ChawaWaMama utawaeleza
Hiyooo 24/25 ni mwaka wa kikatilii nakuambiaaa✍️✍️✍️Achana na huko juu, Yani Huku CHINI serikali za mitaa kwa MAANA ya watendaji wa kata na Miata ndo Kuna kilio, pameozaa Hawa hawaujui dhamana zao na WANAIKOSANISHA SERIKALI na WANANCHI wao... Sijui kwanini mabadiliko hayafanyiki. Kama hakutakuwa na mkeka mpya Huku chini (serikali za mitaa) ambalo ndio Kila siku wanakutana na wananchi sijui itakuwaje 24/25
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Makosa yanaonekana wazi kwamba nchii hii inaongozwa na utashi wa wahuni wachache..Je, kwa upande wako unadhani yupo Sahihi. Yaani tayari wanaongea waziwazi kuwa wao ndio kila kitu kwenyee hii nchi😭😭😭😭
We chawa unaweza kumkata mitama mtoa mada?Tutamtafuta tumkate mitama ya hapa na pale!
Mumkate mitama nani? Hivi tangu lini Zuzu anaepelekwa kama Roboti hawe na Akili ya Kujitambua, endeleeni kutafuta ela ya kujaza matumboTutamtafuta tumkate mitama ya hapa na pale!
Ambaaao wapo kwa Maslahi yaoo binafsi na Sio kwa wananchi wakeeMakosa yanaonekana wazi kwamba nchii hii inaongozwa na utashi wa wahuni wachache..
Akili zao Fyatuu hawajielewii hao, wasengewasenge, mtu unaejielewa huwezi pelekwa pelekwa kama Zuzu au Ndondocha kila kitu yes kila kitu yesWe chawa unaweza kumkata mitama mtoa mada?
Kung’uta na vibao, makofi na konzi kwa sanaa!We chawa unaweza kumkata mitama mtoa mada?
Hao ndio ChawaWaMama true meaning of WehuwehuAkili zao Fyatuu hawajielewii hao, wasengewasenge, mtu unaejielewa huwezi pelekwa pelekwa kama Zuzu au Ndondocha kila kitu yes kila kitu yes
Kung’uta na vibao, makofi na konzi kwa sanaa!
Huna ubavu wewe chawa ita kunguni wakusaidieKung’uta na vibao, makofi na konzi kwa sanaa!
Akili kisoda 😂😂😂😂