troiker JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 1,551 Reaction score 2,573 Aug 8, 2023 #41 Jemima Mrembo said: Tanzania hamna uwajibikaji ndio maana hatuendelei Click to expand... Wakiwajibishwa, anayewawajibisha lazima auwawe tu
Jemima Mrembo said: Tanzania hamna uwajibikaji ndio maana hatuendelei Click to expand... Wakiwajibishwa, anayewawajibisha lazima auwawe tu
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Aug 8, 2023 #42 Nchi jirani ili uwe waziri, unachunguzwa vya kutosha na kuna kamati ya kuidhinisha. Sijui hapa kwetu uteuzi ukoje!
Nchi jirani ili uwe waziri, unachunguzwa vya kutosha na kuna kamati ya kuidhinisha. Sijui hapa kwetu uteuzi ukoje!
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Aug 8, 2023 #43 Bueno said: Ole wako akusikie MamaSamia2025 na wale ChawaWaMama utawaeleza Nape Nnauye Click to expand... Jitahidi kukaa kimya ili idadi ya wanaofahamu utaahira wako isiongezeke.
Bueno said: Ole wako akusikie MamaSamia2025 na wale ChawaWaMama utawaeleza Nape Nnauye Click to expand... Jitahidi kukaa kimya ili idadi ya wanaofahamu utaahira wako isiongezeke.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Aug 25, 2023 #44 Kwenye mtihani ukiulizwa ni kwa nini bara la Afrika lipo nyuma, ulichoandika ni jibu namba one.