PreGE2025 Baadhi ya viongozi wamezuia comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kupooza No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.

Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.

Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.

Screenshot 2025-06-07 175752.png
 
View attachment 3359625
Hao wanaoposti ni "misukule" ya mange.
 
Kasheshe🤣🤣🤣🤣
Ngoja tuone,mana kuanzia jana hata wauza viatu wakipost watu wanatiririka na usemi wao!
I am sure watachoka soon!
 
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.

Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.

Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.

View attachment 3359625
Account za ig za raia namba moja na za mawasiliano ya nyumbani kwake, naona kuna mtu amepewa kazi ya kuzifuta comments za No reforms
 
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.

Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.

Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.

View attachment 3359625
Mpaka Wakimbie mitandaoni wabaki kwenye vijarida Uchwara tu
 
Back
Top Bottom