Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hao wanaoposti ni "misukule" ya mange.Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.
Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.
Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.
View attachment 3359625
Account za ig za raia namba moja na za mawasiliano ya nyumbani kwake, naona kuna mtu amepewa kazi ya kuzifuta comments za No reformsLeo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.
Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.
Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.
View attachment 3359625
Mpaka Wakimbie mitandaoni wabaki kwenye vijarida Uchwara tuLeo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.
Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu wanaoandika kauli hiyo ambayo ndio msimamo wa CHADEMA kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Bila kujali maudhui iliyorushwa wachangiaji hao wanaandika maneno hayo bila kueleza zaidi.
Hali hiyo imezua gumzo kwenye makundi songezi ya WhatsApp huku baadhi wakinakili kwa picha comments za watu hao kwenye mitandao ya kijamii.
View attachment 3359625
No reforms no electionVijana wa Chadema wana mambo ya Kitoto sana
Na hii iwe ndio Salamu kila uchwao#NO REFORMS NO ELECTION
#FREE TUNDU LISSU ✌️
Hawezi yeye alizoea kuwatetea machinga wa mashine tatu wasinyanyaswe na watu wa manispaa-Iringa. Kuna vitu haviteteeki🤣🤣🤣🤣Mchungaji Peter msigwa yupo wapi aje kuitetea ccm
Sawa kibaraka wa watawala!Hao wanaoposti ni "misukule" ya mange.
Wenyewe wanasema hawafanyii kazi habari za mitandaoni