Baadhi ya waagizaji wa magari baada ya kupokea magari yao

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
 
Wewe mtu kandunduliza kibubu bukubuku miaka 20....anunue gari afu leo umwambie gari haina redio weweee au wale wazee wa kiinua mgongo uzeeni ndo wanataka kumiliki gari.

Pambana mkuu ndo biashara hzo.... Google types of customers...utawaona hao
 
Suppliers wao ndio wanawaponza wanawatumia picha za gari likiwa jipya
 
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Mbona unafokea watu kwa gari zao na pesa zao.

Unamfokea mtu aliyenunua gari yake kwa pesa zake unamuita ni mshamba? We jamaa una roho ya kimaskini
 
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Tatizo ni umaskini na exposure
 
Wape spana zao au weka wazi suala Hilo, kama ni kitu kidogo mbona huwawekei? Muuza magar wape spana zao.
 
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Kwa niaba ya wamiliki wa Mercedes Benz napenda kukushukuru kwa kututambua hatuna baya 😂😂😂

Kuna mtu kaona Benz langu amelishobokea anataka kupanda twende sehemu, nimemwambia haina shida, tena nitamuachia aendeshe mwenyewe.
 
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Kumbe wewe ndiye unaye opoa jeki zetu na wheel spaner kwenye ist zetu eehh?
 
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.

Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.

Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Wewe si unafanya biashara bhana, huduma wateja wako ipasavyo acha longo longo
 
Back
Top Bottom