Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ndiyo tutajua uwezo wako wa akili kummudu mtu aliyewehuka kwa ghafla ugonjwa wa "expectations"!
Kabisa yaan Wala sio suala la kuliandikia Uzi hiliMnunulie muwekee utata uishe..!!
Sababu unajikaanga mwenyewe si tunamalizia kukutafuna tuYani humu jf unaweza ukaleta kajiuzi kako mwenyewe ka kutoa nyongo alafu mwisho ukaongezewa nyongo mara kumi yake ukabaki unahaha kama bata kameza kaa la moto ndio kinachotokea hapa
Kati ya anayedai features ambazo hazija kamilika na asiyejali kuwa kuna vitu vimepungua ni nani “amenyooka”?Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Acha dharau kwa wateja,Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Brother gari inaposhuka kwenye meli kuna ukaguzi unafanyika na kuna document inajazwa inaitwa vehicle inspection report inaonyesha vitu vilivyomo kwenye gari na kama havipo inaonyesha sasa kuna baadhi ya watu hawezi kukuelewa hata kama documents inaonyeshaKwenye gari 20 za wateja ukisema wakusikilize ujinga wako ukusanye hivyo vitu huoni kuwa unaweza kuwa na duka la vitu used tena watakuwa wamekusafirishia bure!! Kama gari Imekuja na hivyo vitu wapatie wateja mjomba acha udokozi.
Pole sana mshikajiBrother gari inaposhuka kwenye meli kuna ukaguzi unafanyika na kuna document inajazwa inaitwa vehicle inspection report inaonyesha vitu vilivyomo kwenye gari na kama havipo inaonyesha sasa kuna baadhi ya watu hawezi kukuelewa hata kama documents inaonyesha
Kama document inaonesha vipo nunua umpatie mteja, tukisema tuipuuzie document haina maana document kuwepo tungejali gari kuwaka tuBrother gari inaposhuka kwenye meli kuna ukaguzi unafanyika na kuna document inajazwa inaitwa vehicle inspection report inaonyesha vitu vilivyomo kwenye gari na kama havipo inaonyesha sasa kuna baadhi ya watu hawezi kukuelewa hata kama documents inaonyesha