BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Suppliers wao ndio wanawaponza wanawatumia picha za gari likiwa jipyaWewe mtu kandunduliza kibubu bukubuku miaka 20....anunue gari afu leo umwambie gari haina redio weweee au wale wazee wa kiinua mgongo uzeeni ndo wanataka kumiliki gari.
Pambana mkuu ndo biashara hzo.... Google types of customers...utawaona hao
Mbona unafokea watu kwa gari zao na pesa zao.Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Huyu Dalali tu hana biashara ya gari yoyote.Wewe Kama mfanyabiashara haupaswi kulalamika.
Unabidi kuwaelewa hivyo vitu vidogo ndo vinahesabika Kama features za gari sometimes usidharau mkuu
Tatizo ni umaskini na exposureSome people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Baba Morgan amekuwa mswahili now daysHuyu Dalali tu hana biashara ya gari yoyote.
Wape spana zao au weka wazi suala Hilo, kama ni kitu kidogo mbona huwawekei? Muuza magar wape spana zao.Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Mkuu mi sio dalali ni custom agentMadalali mnakuwaga na ujuaji wa kijinga sana!
Gari sio la kwanguMnunulie muwekee utata uishe..!!
Kwa niaba ya wamiliki wa Mercedes Benz napenda kukushukuru kwa kututambua hatuna baya 😂😂😂Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Kumbe wewe ndiye unaye opoa jeki zetu na wheel spaner kwenye ist zetu eehh?Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa sasa wheelspanner ni bei gani mpaka mishipa inakutoka huo ni ushamba.
Afu hizo ni pigo za wanaoagiza gari ndogo kama demio, IST, VITZ hataki hata uendeshe dereva yeye mwenyewe ila unakuta mtu kuagiza zake benz anakuamini fresh umasikini na ushamba ni vitu vinavyokwenda sambamba
Wewe si unafanya biashara bhana, huduma wateja wako ipasavyo acha longo longoSome people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.