Baadhi ya waagizaji wa magari baada ya kupokea magari yao

Kati ya anayedai features ambazo hazija kamilika na asiyejali kuwa kuna vitu vimepungua ni nani “amenyooka”?

Halafu kwenye biashara hakuna mteja mdogo kwa maana ya value ya kitu anacho nunua mteja.

Kama kweli we ni customs agent kama ulivyosema basi utakubaliana nami kwamba hawa wateja wa IST and the like ni wengi sana kuliko hao wa Benz, kwa hiyo kwa vyovyote vile hao wa IST ndio wateja wakubwa kwa kuwa wanakupa regular business kuliko hao wengine.

Heshimu wateja wako na claims zao pia.
 
Kwa maana fupi ujanja ni kumuibia mteja kisha asikuulize ndugu mfanya bznes.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Acha dharau kwa wateja,
 
Kama kabla ha malipo niliambiwa vitu hivyo vipo ikija havipo kubali hata makofi kutandikwa

Mshukuru jamaa leo hajaja na hasira
 
Nimeshangaa ujue so Kama kitu kidogo why asikinunue akiweke. Na yeye ushamba na umasikini unamsumbua, hapo unakuta hana hata boda Ila anajidai kuwa mtu anaagiza zake benz anakuamini fresh ,nataka wote wawe na tabia za waagiza benz. Kama vipi uuza tu benzi achana na hivyo vigali vya 10M+ usihangaike na hela hizo za nyanya.
Nina uhakika kwenye akaunti yako ya benki huna hata 50M Mana hizo lugha wanaongeaga wmasikini.
Pia Kuna umasikini wa akili , unaweza ukawa na pesa na bado ukawa na akili ya kimasikini
 
Kwenye gari 20 za wateja ukisema wakusikilize ujinga wako ukusanye hivyo vitu huoni kuwa unaweza kuwa na duka la vitu used tena watakuwa wamekusafirishia bure!! Kama gari Imekuja na hivyo vitu wapatie wateja mjomba acha udokozi.
 
Kwenye gari 20 za wateja ukisema wakusikilize ujinga wako ukusanye hivyo vitu huoni kuwa unaweza kuwa na duka la vitu used tena watakuwa wamekusafirishia bure!! Kama gari Imekuja na hivyo vitu wapatie wateja mjomba acha udokozi.
Brother gari inaposhuka kwenye meli kuna ukaguzi unafanyika na kuna document inajazwa inaitwa vehicle inspection report inaonyesha vitu vilivyomo kwenye gari na kama havipo inaonyesha sasa kuna baadhi ya watu hawezi kukuelewa hata kama documents inaonyesha
 
Pole sana mshikaji
 
Kama document inaonesha vipo nunua umpatie mteja, tukisema tuipuuzie document haina maana document kuwepo tungejali gari kuwaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…