Pre GE2025 Baadhi ya wabunge watishwa na matokeo ya TLS, wahofia majimboni watapendwa watetezi kama Mwabukusi

Pre GE2025 Baadhi ya wabunge watishwa na matokeo ya TLS, wahofia majimboni watapendwa watetezi kama Mwabukusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bunge linahitaji Wabunge wa Upinzani angalao wawe Half ya Wabunge wote ili Bunge letu LISIBURUZWE 👈 na 👉LUMUMBA

Bunge ni la Nchi sio Mali ya Chama fulani.
 
Ni kweli upinzani.utachukua majimbo mengi hapo 2025!

Urais utabaki ccm,kete pekee ya CCM ni kuhakikisha upinzani unaoshika sio ule was mahasimu wao bali vyama rafiki kama ACT,CUF,Nccr n.k na sio chadema japo ndio inapendwa sana na wananchi Kwa namna tulivyo deal na chadema kumetia hasira sana wananchi!!

Kuwafunga,kuwaumiza,kuwasingizia kesi ni maumivu ambayo hasta Mimi mwanaccm nilikua nashangaa sana kwamba "Hawa chadema ni watz au wageni""!?no walipa Kodi au wahujumu uchumi"!!?

Mwisho wa.siku,Mungu ibariki Tanzania tuwe Taifa la upendo na amani!!
 
Kuna vitu vichache sana CCM wangebadilika wangependwa na kukubalika kwa Dhati na Raia wengi,lakini wamechagua kuwa sikio la kufa.
Kwa kazi iliyofanya CCM Nchi hii mpaka sasa haifai kupuuzwa.
CCM ijitafiti Kwa nini Raia wamewachoka,na nini wafanye kupata tena IMANI ya Umma.
CCM imeitoa Nchi Mbali sana,CCM haistahili kutafuta Ushindi wa Mezani.
 
Back
Top Bottom