Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Rafiki zako kina nani Jo acha kamba😂Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.
Nimeogopa sana 🐼
Sabato Njema 😄
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274