Baadhi ya Wachezaji wa Kike (Chini ya miaka 25) wa Mpira wa Miguu Wanaochezea Timu ya Nje

Baadhi ya Wachezaji wa Kike (Chini ya miaka 25) wa Mpira wa Miguu Wanaochezea Timu ya Nje

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1720632834990.png

1. Jina: Clara Luvanga
Miaka: 19
Timu: Alnassr FC- Saudi Arabia
Nafasi: Mshambuliaji
1720632904064.png


2. Jina: Opah Clement
Miaka: 23
Timu: Besiktas- Uturuki
Nafasi: Mshambuliaji
1720632952237.png
3. Jina: Aisha Masaka
Miaka: 21
Timu: BK Häcken- Uswidi
Nafasi: Mshambuliaji, Winger
 
Kuna yule dada wa mamelod aliyekuwa anafunga akiwa umbali mrefu kutoka golini anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom