Baadhi ya wachezaji wa Tabora UTD kucheleweshewa leseni na TFF

Mmefukua makaburi? Sisi kama simba tutawashenyenta hivo hivo
 
At the end of the time tabora ndo wanashida,inakuwaje mpaka unafungiwa usajiri na unashindwa kudeal na hiyo issue mapema wakati ratiba ya league ishatoka zamani.
Watendaji wa tabora ndo wanashida,kama unashindwa kulipa wachezaji stahiki zao kwa muda mpaka upelekwe FIFA jua Kuna shida mahala.

Maana haiwezekani kila msimu iwe vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…