Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Mambo yalivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watakuwa wachezaji ile timu pendwa ya utopolo FC.
Huyu bwana aache kutwambia yaliyosemwa kila leo kwa miaka 5. Atueleze angalau sasa:
1. Wapi Tr 1.5/- yetu.
2. Vipi uhuru wetu.
3. Vipi haki zetu.
4. Vipi maendeleo yetu.
Maendeleo yetu yamekwama kwani nyongeza za mishahara, upandaji madaraja, biashara za watu vyote vimekufa kama si kusimama kabisa.
Ni vizuri akajua tuliomchoka hatuko wachache!
Ameshaenda kulala pumzi imekata
Bora apotee mazima kabisa.Abakie huko huko. Ana jipya lipi la kutueleza?
Nyimbo hizo hizo 5yrs1. Trilioni zipi
2. Uhuru upi Uhuru wa kusema/kuandika si ndiyo huu unautumia
3. Haki zipi ya msingi si ndiyo unayo mpaka leo hakuna aliyekunyanganya
4. Maendeleo si ndiyo treni ya umeme inajengwa, meli zinajengwa mabomba ya mafuta, umeme vijini, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari, na vyuo...au wewe unataka maendeleo gani
Watanzania wa nyumbani kwenu lakini watanzania wa JMT wameikataa ccm. Walianza wajumbe kwanza sisi tunaenda kumaliziaUngefanya jambo la maana kama ungemwambia Lissu asitishe kampeni maana iko wazi na hata yeye anajua kuwa hatoshinda. Watanzania bado tuna imani na Magufuli na tutamchagua tena
Tukutane October mkuu usije ikimbia id yakoWatanzania wa nyumbani kwenu lakini watanzania wa JMT wameikataa ccm. Walianza wajumbe kwanza sisi tunaenda kumalizia
Bado kuzindua kwa mara ya tatuMabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Palikuwa na haja ya kuwashauri baadhi ya wagombea kusitisha tu kampeni zao hasa hasa kampeni zenyewe zinapokuwa za gharama kubwa, zisizokuwa na tija na huku zikiwa hazina jipya kabisa.
Kwa mfano, wengine tangia kuzinduliwa kwa kampeni mwishoni mwa August ile mbele ya macamera lukuki ya TV stations zote zilizopo nchini, hamna jipya lolote waliosema bali ni yale yale ya kabla hata ya uzinduzi.
Jamani eeh tufanye tumesikia basi!
Maana tumenunua madege, tunajenga meli maziwani, tumejenga mahospitali na dispensaries kadhaa, tunajenga SGR, Stiggler's Gorge, nk nk. Habari ni hiyo hiyo kote wanakokwenda utadhani ni recorded CD inachezwa.
Ukizingatia kuna huyu anayeambatana na magari si ya kitoto zaidi 100 na watu wasiopungua 400 kwenye misafara yake. Huu ni upotezaji wa raslimali usio na tija kwa ajili ya kwenda kusema yale yale?!
Kwa kweli hawana jipya na hii hadithi wanayoirudia rudia kwa hakika imechokwa na imedoda vilivyo.
Kwamba tuliamua kupumzika hizi siku mbili tatu? Bora tungepumzika jumla tu. Hizi kampeni hazina tija wala manufaa hata kulinganisha na juhudi tu.
Bora kama tungekuwa na mapya labda kuhusiana na mipango kuelekea kuangazia haki au uhuru wetu. Haya mengine mbona mgombea huyu yamemletea tafrani zaidi kuliko umaarufu?
Habari ndiyo hiyo.
Kweli jamaa lissu kamfanya awe anaropoka kuna uzinduzi mwingine wa sgr karibuniView attachment 1568920Kwakweli alie karibu na Magufuli amshauri jamaa, hana mvuto kabisaaa
kifupi wapiga kura tumemwelewa.
kuna mpuuzi anadanganya watu kuna maendeleo ya watu kabla ya vitu.na wasomi wenzie wanatikisa kichwa kwamba hiyo ni kweli[emoji3][emoji3]
1. Trilioni zipi
2. Uhuru upi Uhuru wa kusema/kuandika si ndiyo huu unautumia
3. Haki zipi ya msingi si ndiyo unayo mpaka leo hakuna aliyekunyanganya
4. Maendeleo si ndiyo treni ya umeme inajengwa, meli zinajengwa mabomba ya mafuta, umeme vijini, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari, na vyuo...au wewe unataka maendeleo gani
Mkuu naona kama umejivua nguo, samahani hivi una familia wew?Nilifikiri unashauri waache kampeni kwa sababu ya corona ila naona corona imetulia inaheshimu kampeni au pengine bora watu wafe tu maana kampeni ni muhimu sana kuliko uhai wa mtu.
Ila tukumbuketu kuwa kama Magufuli angetumia sayansi kukabiliana na corona(kama ambavyo walikuwa wakipiga kelele humu kuwa afanye hivyo) basi sasa hata hizo kampeni tungekuwa tunazisikiliza kwenye majumbani na kusingekuwa na wa kushauriwa kuacha kampeni.
Jipya ni namba za benki na mitandao kufanikisha michango ya kampeni.Sasa nani mwenye jipya kila mmoja yale yale risasi 16 uhuru wa mara 2 na mengine hayohayo unadhani kutakua na mapya labda litokee yukio jipya ndo mapya yataibuka
Mimi sitokubali kama jiwe ataachwa hivi hiviWanaume wa Dar tusiangushane. Kimbunga cha 2015 ni somo tosha. Mambo ni kampeni nyumba kwa nyumba.
Huyu akachunge ng'ombe na farasi wake Chatto. Wala hatalipiziwa visasi kama afanyavyo yeye.
Na kurusha namba za kupokelea sadaka.Kuna mtu kila siku anatupa story ya kupigwa risasi
Mimi sitokubali kama jiwe ataachwa hivi hivi