Uchaguzi 2020 Baadhi ya wagombea washauriwe kusitisha kampeni, hawana jipya

Uchaguzi 2020 Baadhi ya wagombea washauriwe kusitisha kampeni, hawana jipya

Mambo yalivyo
8b8772af65a848b2211cc750a1e7211b.jpg
 
Hao watakuwa wachezaji ile timu pendwa ya utopolo FC.

Huyu bwana aache kutwambia yaliyosemwa kila leo kwa miaka 5. Atueleze angalau sasa:

1. Wapi Tr 1.5/- yetu.
2. Vipi uhuru wetu.
3. Vipi haki zetu.
4. Vipi maendeleo yetu.

Maendeleo yetu yamekwama kwani nyongeza za mishahara, upandaji madaraja, biashara za watu vyote vimekufa kama si kusimama kabisa.

Ni vizuri akajua tuliomchoka hatuko wachache!


1. Trilioni zipi
2. Uhuru upi Uhuru wa kusema/kuandika si ndiyo huu unautumia
3. Haki zipi ya msingi si ndiyo unayo mpaka leo hakuna aliyekunyanganya
4. Maendeleo si ndiyo treni ya umeme inajengwa, meli zinajengwa mabomba ya mafuta, umeme vijini, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari, na vyuo...au wewe unataka maendeleo gani
 
Mleta Maada hujielewi Sasa Kama barabara imejengwa Mikoa ishirini Kila mkoa akifika lazima aongee barabara hiyo hapo oneni hiyo Hapo
Chadema hamna Cha kuonyesha Kila mnapoenda ndio maana mnaongelea visivyokuwepo tu


CCM kila tuendapo tutaongea ununuzi wa Ndege kila mkoa wenye uwanja wa Ndege tutaongea sababu zinaenda

Kila kijiji chenye umeme tutaongea umeme tuliopeleka

Zahanati kila tulipojenga tutaongea kuwa hiyo Hapo

Hapo hamtutoi kwenye reli nyie bakini na vitu vyenu hewa sisi tinawaonyesha live tukivyofanya na kuwaomba watupe ridhaa tufanye zaidi

Nyie endeleeni na fix hewa zenu za ahadi hewa

Nyie Chadema endeleeni kuwalisha porojo zenu tukutane sanduku la kura October 28
 
1. Trilioni zipi
2. Uhuru upi Uhuru wa kusema/kuandika si ndiyo huu unautumia
3. Haki zipi ya msingi si ndiyo unayo mpaka leo hakuna aliyekunyanganya
4. Maendeleo si ndiyo treni ya umeme inajengwa, meli zinajengwa mabomba ya mafuta, umeme vijini, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari, na vyuo...au wewe unataka maendeleo gani
Nyimbo hizo hizo 5yrs
 
Ungefanya jambo la maana kama ungemwambia Lissu asitishe kampeni maana iko wazi na hata yeye anajua kuwa hatoshinda. Watanzania bado tuna imani na Magufuli na tutamchagua tena
Watanzania wa nyumbani kwenu lakini watanzania wa JMT wameikataa ccm. Walianza wajumbe kwanza sisi tunaenda kumalizia
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Palikuwa na haja ya kuwashauri baadhi ya wagombea kusitisha tu kampeni zao hasa hasa kampeni zenyewe zinapokuwa za gharama kubwa, zisizokuwa na tija na huku zikiwa hazina jipya kabisa.

Kwa mfano, wengine tangia kuzinduliwa kwa kampeni mwishoni mwa August ile mbele ya macamera lukuki ya TV stations zote zilizopo nchini, hamna jipya lolote waliosema bali ni yale yale ya kabla hata ya uzinduzi.

Jamani eeh tufanye tumesikia basi!

Maana tumenunua madege, tunajenga meli maziwani, tumejenga mahospitali na dispensaries kadhaa, tunajenga SGR, Stiggler's Gorge, nk nk. Habari ni hiyo hiyo kote wanakokwenda utadhani ni recorded CD inachezwa.

Ukizingatia kuna huyu anayeambatana na magari si ya kitoto zaidi 100 na watu wasiopungua 400 kwenye misafara yake. Huu ni upotezaji wa raslimali usio na tija kwa ajili ya kwenda kusema yale yale?!

Kwa kweli hawana jipya na hii hadithi wanayoirudia rudia kwa hakika imechokwa na imedoda vilivyo.

Kwamba tuliamua kupumzika hizi siku mbili tatu? Bora tungepumzika jumla tu. Hizi kampeni hazina tija wala manufaa hata kulinganisha na juhudi tu.

Bora kama tungekuwa na mapya labda kuhusiana na mipango kuelekea kuangazia haki au uhuru wetu. Haya mengine mbona mgombea huyu yamemletea tafrani zaidi kuliko umaarufu?

Habari ndiyo hiyo.
Bado kuzindua kwa mara ya tatu
IMG_20200913_195725.jpeg
IMG_20200913_195723.jpeg
 
1. Trilioni zipi
2. Uhuru upi Uhuru wa kusema/kuandika si ndiyo huu unautumia
3. Haki zipi ya msingi si ndiyo unayo mpaka leo hakuna aliyekunyanganya
4. Maendeleo si ndiyo treni ya umeme inajengwa, meli zinajengwa mabomba ya mafuta, umeme vijini, vituo vya afya, shule za msingi, sekondari, na vyuo...au wewe unataka maendeleo gani

Mkuu ndiyo kurejea kutokea sayari nyingine?

1. Pana Tr. 1.5/- ilikopotelea anajuwa jiwe. Au na wewe ulikuwa mnufaika nayo?
2. Uhuru na haki zetu zilizokiukwa na tunazozitaka zinaainishwa vilivyo na aina mgombea tunayemtaka kuzirejesha. Yaani:

IMG_20200804_210728_515.jpg


3. Maendeleo tunayoyataka ni yale tuliyoyaridhia sisi kupitia wabunge wetu. Si madege, viwanja vya ndege Chatto, hifadhi za taifa chatto, viwanja vya ndege na Mpira Dodoma nk vyenye kuamriwa kinyume cha utaratibu na jiwe. Yeye hajui ukipaumbele dhidi hata ya barabara kama hizi:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Bila kusahau nyongeza za mishahara yetu, nyongeza za madaraja yetu, ajira mpya, malipo ya wastaafu, kulindwa kwa biashara zetu na yote vya namna hiyo yanayotuathiri moja kwa moja.
 
Nilifikiri unashauri waache kampeni kwa sababu ya corona ila naona corona imetulia inaheshimu kampeni au pengine bora watu wafe tu maana kampeni ni muhimu sana kuliko uhai wa mtu.

Ila tukumbuketu kuwa kama Magufuli angetumia sayansi kukabiliana na corona(kama ambavyo walikuwa wakipiga kelele humu kuwa afanye hivyo) basi sasa hata hizo kampeni tungekuwa tunazisikiliza kwenye majumbani na kusingekuwa na wa kushauriwa kuacha kampeni.
Mkuu naona kama umejivua nguo, samahani hivi una familia wew?
 
Sasa nani mwenye jipya kila mmoja yale yale risasi 16 uhuru wa mara 2 na mengine hayohayo unadhani kutakua na mapya labda litokee yukio jipya ndo mapya yataibuka
Jipya ni namba za benki na mitandao kufanikisha michango ya kampeni.
 
Hayo yalikuwa maneno ya Mwalimu Nyerere, muasisi wa taifa hili. Kwamba watu wakiwa na maendeleo wataleta maendeleo ya vitu. Rejea hotuba za mwalimu.
 
Wanaume wa Dar tusiangushane. Kimbunga cha 2015 ni somo tosha. Mambo ni kampeni nyumba kwa nyumba.

Huyu akachunge ng'ombe na farasi wake Chatto. Wala hatalipiziwa visasi kama afanyavyo yeye.
Mimi sitokubali kama jiwe ataachwa hivi hivi
 
Mimi sitokubali kama jiwe ataachwa hivi hivi

Nakusoma mkuu. Wapo wengi wenye mtizamo kama wako.

Ilikuwa somo muhimu sana jiwe kujua anaongoza kwenye ile list ya wachukiwao mno. Akifuatiwa na makondakta kisha yule wa Mbeya kabla ya yule wa kongwa.

Yaani naibu kamtoa knockout hadi boss wake.
 
Mkuu unateseka bure.
Rais ni Magufuli tu . Huyo mpiga pambio asubili sana mpaka afikishe miaka 80
 
Back
Top Bottom