Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Molemo Dr Slaa kachomoa betri huko

Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...

Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...

Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...

Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...

Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
 
Mmmmh...ila Ka story haka kamekaa kimajungumajunguuu,utqfikiri yaliyosemwa ni ya Wajumbe kweli kumbe mtu TU kajifungia katunga story zake kapost hapa.Achq kura kwenye Box zikaamue
 
Sultan Mbowe amechagua njia mbovu sana ya kumalizia mwendo
Sasa kaunda Kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, wenje, Boniface, sugu na William mungai ili wamdhoofishe Lisu, wameomba pesa nyingi kwa mbowe na tayari wamepewa, pesa ypte aliyoiba Mbowe italiwa na chawa wake ambao wanamshukuru Lisu kuwasababishia ulaji mkubwa toka kwa mbowe
 
Hatuwezi kumkabidhi raia wa ubelgiji chama😀
 
Wewe si ni team Mbowe unajulikana kabisa?
 
Acha uongo ndugu yangu.
Mpaka sasa wajumbe wa mikoa ya Pwani, Tanga, Mara na Mbeya kwa umoja wao wamejitokeza hadharani na kutangaza wazi wazi kumuunga mkono Lissu.
 
Bado hamjasema hadi mseme.
 
HUU NI UPUMBAVU MTUPU.
 
Heading ya thread imeandikwa kama hii ni established fact, wakati ni projection.
 
Mwenyekiti wa Chadema ni mtu mwenye Hekima, wajumbe wataamua kutokana na jinsi watakavyoona inafàa. Nadhani uchaguzi huu utakuwa wa mfano wa kuigwa. Tunataka sekretarieti ya Chadema ihakikishe kuwa hawatafanya mzaha ili kuonyesha mfano hata TUME HURU ya UCHAGUZI ipate kuona namna mnavyoendesha uchaguzi ili kuondoa malalamiko.
 
Umekisea kidogo Mbowe atashinda 81.5%.
 
Uchaguzi huu chadema Wana option 2 wafe au waibuke wazima, wakienda na lissu watapona, wakienda na mbowe watapoteana vibaya
 
Haahaa au 100% maana fungu limetokea rasmi
Lissu hana wapiga kura hilo lipo wazi.

Lissu anategemea Club House hawana kura.
Lissu anategemea Dr Slaa hawezi kipiga kura
Lissu anamtegemea Mch Msigwa hana kura.
Lisu anawategemea Mawakili hawapigi kura.
Lissu anategemea YouTube haipigi kura.
Lissu anategemea uzushi haisaidii.
Lissu anawategemea watu walionje ya chama hawana msaada wala si wapiga kura
Lissu ni Mropokaji,Kigeugeu,hana maarifa.
Lissu anatarajiwa kupata 17% au 21%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…