Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Si kila kauli ni upotoshaji bali inaweza kufikiliwa ni uropokaji ikitolewa sehemu isiyo sahihi.
Chawa wa mbowe wanakula pesa za mbowe wanamdanganya Lisu ni mropokaji, kumbe wanazidi kumfanya Mbowe apote kwa kukumbatia masimango
 
"Tundu Lissu hapati hata kura 100 kwenye uchaguzi " - Yericko Nyerere
Wewe na kamati ya Roho mbaya iliyoundwa na mbowe chini ya Mdee, wenje, Boniface mtaiba kura njama zenu zinajulikana vizuri, uchaguzi huru na haki Mbowe hawezi kushinda, Mbowe ataununua uenyekiti kwa uchakachuaji tu si vinginevyo
 
Molemo, ninakufahamu kitambo ungekuja na hoja tofauti na hii ningeshangaa sana.
Wewe na FAM ni chura na maji.
Chawa wa mbowe wanamshukuru Lisu kumtia pressure Mbowe kwa imewaletea Ulaji toka kwa mbowe, wanavuna pesa nyingi toka kwa mbowe kwa kazi ya kumdhoofisha lisu
 
Kwa sasa kama huna pesa ya kula nenda kwa mbowe kachukue pesa na gia ya kuingilia mwambie upo tayari kumdhoofisha lisu, kwa sasa mbowe amekuwa shamba la bibi
 
Alishazoea kutimua waliokuwa wanataka hii nafasi yake kama Zitto kabwe na Mzee Sumae ,hapa kwa Lissu ni amekanyaga moto wa kifuu huyu Mzee
Kifupi ameyatimba. Hii counter attack aliyofanya Lissu imemtoa Sultan Mbowe kwenye mchezo hadi anaanza masimango mara nimemjenga Lissu mara nilimuazima gari afanyie kampeni yaani kama mwanamke wa kizaramo kumbe ni baba wa kimachame,kavurugwa mbaya.
 
Kwa sasa kama huna pesa ya kula nenda kwa mbowe kachukue pesa na gia ya kuingilia mwambie upo tayari kumdhoofisha lisu, kwa sasa mbowe amekuwa shamba la bibi
Na katika b12 alizovuta kwa Samia hapo atatumia kama b2 hicho kiteni chote anachikichia
 
Hana sifa ya kuwa mwenyekiti ila mlivyo msimamisha awe mgombea wa uraisi alikuwa TUNDU LISU HUYU AMA KUNA MWINGINE mwenye sifa ya kuwa RAISI WA TANZANIA,,,, ha ha ha ha ha ha a a a a ACHA MANENO MENGI KURA ZITA AMUA
 
Hela ya Abdul nyoko sana yaani hata Molemo naye kaingia kwenye huu upuuzi !!
 
Ukiwa mkweli hii dunia utachukiwa na raia waovu, bali utapendwa na raia wema.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa

Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21

Tundu Lissu mwenye msimamo mkali wa kisiasa anajadiliwa na watu mbalimbali hasa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uamuzi wake wa kupambana na Freeman Mbowe Mwenyekiti aliyekalia kiti hicho kwa miaka 20

Katika mahojiano na uchunguzi huo Molemo Media imeona uwezekano mkubwa wa Tundu Lissu kushindwa nafasi hiyo kutokana na hoja kadhaa za wajumbe kama ifuatavyo.

1. Wajumbe wengi wameonyesha hofu ya kumchagua Tundu Lissu kutokana na jinsi anavyoongea maneno mengi bila kujitafakaru kwanza ni kipi cha kuzungumza na wakati gani wa kuzungumza.Wanasema kiongozi anapaswa kuwa msikilizaji zaidi na mzungumzaji kwa uchache.

2. Tundu Lissu amelalamikiwa kutokutunza siri za Kamati Kuu na chama, kuna mambo ambayo hayapaswi kuwekwa hadharani mfano uliotolewa ni jinsi alivyolipuka kuzungumzia kikao cha siri kati yake na Mbowe kilichofanyika Msimbazi Centre na kuongozwa na kiongozi mkubwa wa dini.Imeelezwa hiyo ni siri na hatari kubwa kutolewa hadharani kwa maslahi ya chama.

3. Tundu Lissu amelalamikiwa na baadhi ya wajumbe kuwa hakudhamiria kugombea Uenyekiti wa chama bali amegombea kulipa kisasi cha Wenje 'kugombea nafasi yake' kama mwenyewe alivyonukuliwa akisema siku aliporejea kutoka Ubelgiji.

4. Baadhi ya wajumbe wanasema Tundu Lissu ni mtu wa kulipiza visasi na wamesema huenda ameomba nafasi hiyo ili kulipiza visasi kwa maadui zake na kufuta kabisa legacy ya Freeman Mbowe aliyekijenga chama hicho kwa jasho na damu

5. Tundu Lissu pia analalamikiwa kutuhumu kila anayetofautiana naye kwamba ni mla rushwa ndani ya chama na ndiyo maana analalamikia wajumbe wote wanaomuunga mkono Mwenyekiti kwamba walitoa rushwa kushinda uchaguzi.Wajumbe wana hofu endapo akishinda atawafukuza wale wote wanaompinga ili aweke watu wake.Amekuwa akiituhumu mpaka sekretariati ya chama kwamba haimuungi mkono na amesema wazi wazi akishinda atawaondoa wajumbe wote.

6. Tundu Lissu analalamikiwa kumkashifu, kumdharau, kumuandama na kumtungia kila aina ya kashfa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kwa lengo la kumuonyesha hafai mbele ya Jamii.Wajumbe hao wamesema kwa hali ya kawaida alipaswa tu kumtunzia heshima Freeman Mbowe kwa jinsi alivyomsaidia mambo mengi ikiwemo kuokoa maisha yake alipopigwa risasi na kumtunza hospitalini Nairobi miezi 4 kama alivyonukuliwa kusema kaka yake Lissu.

7. Wajumbe wengine pia wamesema anatakiwa kuchaguliwa mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kuyaunganisha makundi yote baada ya uchaguzi kitu ambacho Tundu Lissu hawezi kwa sbabu tayari anatukana yeyote anayempinga kwamba ni mla rushwa na kapokea hela za Abdul na mama yake.

8. Tundu Lissu anatuhumiwa kuungwa mkono na makundi yaliyo nje ya Chadema yenye nia ovu ya kutaka kukiteka Chadema.Makundi hayo ni ya wanaharakati na Diaspora ambao kila kukicha wamekuwa wakimshambulia Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho.

9. Wajumbe kadhaa pia wamesema kiongozi yeyote wa Chadema hasa Mwenyekiti anapaswa kuwa mnyenyekevu kwa viongozi wenzake kitu ambacho Tundu Lissu hana, imedaiwa kitendo cha Tundu Lissu kuhutubia Taifa siku ya mwaka mpya ni utovu mkubwa wa nidhamu kwa Mwenyekiti wake kwani anayepaswa kuongea kwa niaba ya chama ni Mwenyekiti wa Taifa na si mtu mwingine.

10. Tundu Lissu siyo mtu wa maridhiano na mapatano kitu ambacho ni kibaya sana kwa kiongozi mkuu wa chama.Wajumbe wengi wamesema Mwenyekiti wa chama lazima awe mtu anayeweza kuzungumza na makundi mbalimbali na kukubaliana au kuridhiana na hata kama ikishindikana kukubaliana basi kuheshimiana kitu ambacho Lissu msipokubaliana jambo inakuwa kama uadui.

11. Tundu Lissu amekuwa mtu anayebadili kauli kila siku kutegemeana anataka kupata nini kwa wakati huo, kwa mfano siku za nyuma aliunga mkono maridhiano na akasema ni mazuri sana na kumsifia Rais Samia lakini sasa amegeuka kabisa kauli yake na anatumia kila aina ya lugha mbaya kumkejeli Mwenyekiti wake kuhusu maridhiano.

Kutokana na Tathmini iliyofanywa na Molemo Media Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena na wajumbe na anatarajiwa kupata ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura za wajumbe huku Tundu Lissu akitarajiwa kupata kura kati ya asilimia 30% mpaka 40% ya kura.

Molemo Media inatarajiwa kuwaletea tathmini yake kuhusu wagombea wa kiti cha Makamu Mwenyekiti hasa kwa wagimbea Maarufu Ezekiah Wenje na John Heche.
Takataka, umetumwa na m7 wa bongo Mbowe uandike upuuzi
 
Kamati ya Roho mbaya ya mbowe chini ya Mdee, Boniface, wenje sugu wanahaha kumdhoofisha Lisu pia kumwibia kura siku ya uchaguzi
mdee mbona ni mwana covid19 kaingiaje huko? Ukute ni miongoni mwa hawa members wanaomsigina lissu humu
 
Hela za Abdul na mama yake zimeanza kufanya kazi.
 
Hayo ni maoni yako. Ungeweka nahojiano ya utafiti kwa video, tuone alivyokataliwa au kukubaliwa
 
Back
Top Bottom