Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
H
Mbowe habebeki kitu alichobakiza mbowe ni jinsi ya kuiba kura tu lakini uchaguzi huru na haki hakuna mjumbe mwenye Akili Timamu atamchagua mbowe
Haahaa mbowe ana kazi, akishinda atabaki na chama chake
 
Umesema wajumbe wamktataa, kumbe wajumbe ni wewe mwenyewe.
Tafakari akili yako kama haina pombe.
 
Lini uliongea na wapiga kura?
 
Atakuja kuwa rais wa Tanzania huyo.
Mungu atujalie uzima.
 
Aisee! Kumbe kweli usijali kitabu kwa kuangalia kava bhana!

Kuna watu nilikuwa naona wako smart sana huko chadema kumbe ni makopo tu?

Sikujua kama chadema itaumbuka mapema hivi.
 
Kiongozi nzuri ni yule anayepewa hela za rushwa kwa maslahi ya wengine, halafu kwa kiongozi nzuri ukiona rushwa ukae kimya? Ujinga mkubwa labda akawe mwenyekiti wa nyumba yako na familia yako
Kwa mara ya kwanza Ile chadema ya kupambana na ufisadi imekuwa ya kuitetea wala rushwa na mafisadi
 
mambo ya siri ya kulinda mafisadi yapo CCM
Hivi kwa mfano kikao chao ambacho bado hakija mature na kiongozi wa dini kulikuwa na haja ya kuitangazia dunia? Kwamba kila unachofanya lazima useme!
Kwamba makamu ahutubie taifa wakati mwenyekiti yupo, hiyo unaona ni sawa? Kweli?
 
Wajumbe wengi moyoni wapo na Lisu lakini machoni wapo na mbowe kwa ajili wale pesa zote alizoiba Mbowe wakimaliza watampigia kura Lisu, kwa sasa Wajumbe wanakula kunywa kushinda kwa mbowe kisha kulala kupumzika kwa Lisu
 
Mbowe anaachia pesa tu wapambe akina Yericko Mkapa wanashinda huko kwenye media kupiga kabobo!

Ni pumba tu.
 
Rusha,utafiti uliofanya kwa njia ya sauti na picha ili wadau wahabari tuweze kuelewa utafiti wako.
 
Hivi kwa mfano kikao chao ambacho bado hakija mature na kiongozi wa dini kulikuwa na haja ya kuitangazia dunia? Kwamba kila unachofanya lazima useme!
Kwamba makamu ahutubie taifa wakati mwenyekiti yupo, hiyo unaona ni sawa? Kweli?
Kipindi cha kampeni kila mgombea yupo huru kuongea mapungufu ya mwezie ingawa Mbowe kakomaa na Taarabu mipasho masimango badala ya mapungufu halisi
 
Mbowe anaachia pesa tu wapambe akina Yericko Mkapa wanashinda huko kwenye media kupiga kabobo!

Ni pumba tu.
Hao chawa wa mbowe kutwa wanaomba mungu Lisu azidishe pressure kwa mbowe ili waendelee kula pesa za mbowe kwa kisingizio cha kumdhoofisha Lisu
 
Rusha,utafiti uliofanya kwa njia ya sauti na picha ili wadau wahabari tuweze kuelewa utafiti wako.
Utafiti wa kweli ni huu wa mbowe kugawa pesa ili anunue uenyekiti tena, anatumia pesa nyingi zile pesa zote alizoiba chadema sasa chawa wake nao wanazitafuna angalau pesa ya wizi imesambaa kuliko Mbowe kula peke yake
 
Hizo ndiyo sera alizonazo Mbowe?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
PAN AFRICAN gani anayeishi UBELGIJI????????
Nchi iliyemuua mwanamapinduzi wetu PATRICE LUMUMBA wa ZAIRE?????
Leo yeye ndo anaishi huko?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…