Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
PAN AFRICAN gani anayeishi UBELGIJI????????
Nchi iliyemuua mwanamapinduzi wetu PATRICE LUMUMBA wa ZAIRE?????
Leo yeye ndo anaishi huko?????
Akae wapi sasa pesa yote Mbowe kaiba kujimilikisha kwa njia haramu na sasa anazitumia kumdhoofisha Lisu
 
Pamoja na kuwa Mbowe na Lissu wote ni walewale lakini kumuamini nyoka swila mwenye vichwa viwili Slaa ni upunguani uliokithiri, vile ilivyokuwa frontline kushambulia CHADEMA baada ya kutoka hana tofauti na two headed serpent mwenzake Msigwa. Kuhama chama kama mtu hajaridhika na uendeshwaji wa harakati si jambo baya ila kukishambulia ili kibomoke jumla ni uzandiki. Bora hata bilionea Lowassa ambaye anaphama hakuwa na upumbavu wa kutukana kule alipotoka.
 
PAN AFRICAN gani anayeishi UBELGIJI????????
Nchi iliyemuua mwanamapinduzi wetu PATRICE LUMUMBA wa ZAIRE?????
Leo yeye ndo anaishi huko?????
Muasisi wa Panafricanism Marcus Mosiah Garvey hajawahi haya kutia mguu Afrika.

Lakini ndiye alikuwa HERO wa akina Kwame Nkrumah na Mwalimu Nyerere.
 
Muasisi wa Panafricanism Marcus Mosiah Garvey hajawahi haya kutia mguu Afrika.

Lakini ndiye alikuwa HERO wa akina Kwame Nkrumah na Mwalimu Nyerere.
Huyu tunaona kabisa akikimbia kwetu anapotak kuwa rasi na kukimbilia kwa nchi ambayo inatuhumiwa kusababisha MACHAFUKO AFRICA...........
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine sasa anatumia pesa alizoiba kumdhoofisha Lisu
 
Wewe na kamati ya Roho mbaya iliyoundwa na mbowe chini ya Mdee, wenje, Boniface mtaiba kura njama zenu zinajulikana vizuri, uchaguzi huru na haki Mbowe hawezi kushinda, Mbowe ataununua uenyekiti kwa uchakachuaji tu si vinginevyo
Hapana mkuu ,wanaomshabikia Lissu 90% siyo wapiga kura ,ebu angalia team ya kampeni ya Lissu Gwamaka mwizi wa vipuri na mwenzake wote hawapigi kura....Lissu amekurupuka kuwania uenyekiti ,hawezi kushinda hata wasimamizi wa uchaguzi wakitoka kwenye ukoo wao.
 
Huyu tunaona kabisa akikimbia kwetu anapotak kuwa rasi na kukimbilia kwa nchi ambayo inatuhumiwa kusababisha MACHAFUKO AFRICA...........
Lissu alikimbilia Belgium baada ya kutaka kuuliwa na Magufuli kwa MARA YA PILI sasa nani MBAYA Serikali ya CCM iliyotaka kumuua au NCHI iliyompa UHIFADHI?
Propaganda zenu imefikia mpaka mumeanza kuziamini kuwa ni ukweli😂
 
Hii ni fursa pekee kwa Chadema (Chama cha Kidemokrasia) kuonesha kwa vitendo utofauti wake na chama hiki chakavu kinachotumia vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka kama CCM.

Kinachoendelea sasa hivi ndani ya Chadema nautafsiri kama ni dalili ya ukomavu wa kidemokrasia mradi uchaguzi uwe huru na wa haki na si kama ule uchafuzi tunaoushuhudia kwa CCM.

Bado nina matumaini kuwa kama Chadema itafanikiwa itakuwa imetoa funzo kubwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kiimla na kuwa mfano wa kuigwa na vyama uchwara kama CCM!

Vyovyote vile baada ya matokeo kutangazwa, unganisheni nguvu zenu pamoja na kuzielekeza katika kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa hawa walafi wanaolitafuna bila huruma, CCM!
 
Lissu ni mropokaji na muongo.
 
Molemo this is too low for you
Kama hawataki mabadiliko ambayo walisema kipindi cha Hayati Mzee Lowassa kipindi hiki, CHADEMA inaenda kuwa kama NCCR Mageuzi.
Na huo ndio mtaji wa CCM,ukizingatia kuwa tarehe 18-19 Jan,wanakutana kumpata Makamo Mwenyekiti.
 
Huna hoja, mlijificha enzi za jiwe sasa ndo mnaibuka kumtetea Sultani Mbowe.
 
Wameshapewa laki tano tano unategemea nini?
 
Hawa ndio wanufaika wa pesa za chama na ndio maana huliwa makao makuu na kutofika chini majimboni au wilayani.
....Halafu ni mkurugenzi makao makuu....mjinga kiasi hiki....chawa kiasi hiki ..
 
Hawa ndio wanufaika wa pesa za chama na ndio maana huliwa makao makuu na kutofika chini majimboni au wilayani.
Utawala ulioshindwa wa Mbowe umetuletea mkurugenzi mwenye akili kama hizi...Na ni mkurugenzi zaidi miaka 10.Mbowe hafai kuendelea kuliongoza chadema.Ameshindwa
 
Chadema inaenda kuwa Kama CUF ya Lipumba
Haiwezi kuwa kama cuf buguruni ya Leprofeserer,ilachamoto itaona ili kuvuka na kwenda kwenye ustawi bora zaidi.Kisa wachawi wote wa mboga mboga wanaichawia hivi sasa kwa nguvu zao zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…