Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Utalipwa kula nyama...ππππππpesa ya nyama kila siku ππππππππ
acha upuuz π€£π€£π€£π€£πππππ ata chuo hujamaliza totoπ€£π€£π€£πππππππππUtalipwa kula nyama...
Utalipwa kwa kila kitu utakachokifanya ukiwa na mimi
Yaani ni wewe tuu πππππππ
Hapa unaingizwa kwenye circe ya kumtunza kila mmoja atapewa jukumu lake.Dunia iko kasi sana aisee,
wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.
Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.
Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.
Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.
Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.
Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.
Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.
ππππ Umeandika nini hapo juu...acha upuuz π€£π€£π€£π€£πππππ ata chuo hujamaliza totoπ€£π€£π€£πππππππππ
ππππππππππππππππππππila we jamaaππππ Umeandika nini hapo juu...
Utafurah mimi nikilia humu et
Mbona unakua na kauli za kunitenge wewe πππππππ
Dry sana πππ
Mimi natumia, tatito liko wapi?Hivi kumbe kuna raia zinatumia Facebook badoπ€
Hi kitu huwelewi....πππππππππππππππππππππππila we jamaa
umeshindaje lakin πππHi kitu huwelewi....πππ
ππππππ Bana weee nimeshinda salama alhamdullilaah..umeshindaje lakin πππ
mtumishi wa naniππ³ππππππ Bana weee nimeshinda salama alhamdullilaah..
Sijui wewe mtumishi wa me
We sio mtumishimtumishi wa naniππ³
Nyama timemtumishi wa naniππ³
πππWe sio mtumishi
Location please ππππ₯©Nyama time
Nona Sana, EX ni watu wa ajabu sana. Bahati Mbaya kila mtu na Ex wa Mwingine.Dunia iko kasi sana aisee,
wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.
Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.
Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.
Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.
Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.
Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.
Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.
Hahahaa angalia usipigwe mpunga wako kirahisi hivyo.Kuna mchumba wa mtu hapa kitaa aliomba nimkopeshe 80k. Cha ajabu , badala ya kirudisha fedha kama alivyoahidi ananitumia sms saa 5 usiku zenye vialama vya makopakopa.
Nitoe hapa hapa kweli jamniLocation please ππππ₯©