Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana.Mlokole akitenda dhambi utasikia anajisemea "nimeanguka kiroho" "napitishwa kwenye majaribu"
Akitenda mwingine basi wanamuona ibilisi
Nitarudi tu maana nina mtoto tayari hawezi kulelewa kipagani hata mimi siwezi kuendelea kuishi hivi.Mkuu we nenda kasali Mungu atakubariki, haya mambo uliyoyataja ni sifa za mtu mweusi...
Majungu, Ngono, Kutosaidiana hii inatokana na umaskini wetu
Kaka mengi sana yanaendelea hukoKumbe huko makanisani ndio mnakula mbususu za wake wa watuuu....kha nyie ni motoni moja kwa moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu watakubishia ila maisha ya ulokole jamani.Hapa Mtaani kwangu..nyumba zote ni walokole nakwambia walokole kweli na hasa...mimi mke alikua mlokole tukashindwana kila mtu n lwake ..sasa mm naitwa mlevi..Malaya..mtu wa Dunia
Sasa mimi ni mtu wa night na nachomoka mchana tu nikiwa very ok..so najua hizi story zote wanazoongea nikipita nasimama nawasalimia nasepa...wananiona tena mchana! Kesho yake..sina hasira wala maneno mingi..!
Sasa katika hawa wanaume kuna mmoja anapiga mtungi kwa siri ila mlokole..mke anajua ila anakunywa kwa siri sasa kwenye chocho zetu huko tukakutana siku moja!
Katika story ndio ananiambia ule mtaa wanakusema lkn shida pale ni wivu...
1.Kibanda changu ndio kizuri kuliko wao
2.watoto wanasoma shule nzuri kuliko wao
3.siwajibu kitu
4.lifestyle yangu inawaumiza kabisa
Walokole wana roho mbaya sana, wana umalaya mkali sana plus ni wachawi niamini.
Ila wana wivu wa maendeleo balaa..halafu ni wanafki mno...hawana furaha kabisa na hii kitu inawanyima raha...
Umenifurahisha sana kuna demu alikuwa anaaga anaenda kwa mkesha kumbe anakuja kwangu aiseeIla walokole wanajua kubanduana wenyewe kwa wenyewe.
Mkeo akiwa mlokole andika kilio, ujue ni chakula ya wana wa kilokole. Kuanzia baba mchungaji mpaka waumini.
Ukisikia mkesha wa maombi ujue ni mwendo wa kusimamia ukucha.
Ukweli ni upi?Sio kweli
Natamani kujua mtu anaposema hayo maneno kwenye bold huwa anamaanisha nini?Nimecheka sana.
Kuna mwanamke nilimzalisha nikarudi kwa mchungaji na kumuomba kurudi kundini nikiwa na mke na mtoto wangu.
Mchungaji akakubali ni sali.
Aisee wale waumini wanaonitambua wakaanza kunitenga mdogo mdogo ukiwasalamia hawaaitikii.
Kiukweli nilikwazika.
Nikiangalia wanaoitwa wa dunia wananipa kampani na kufurahia maisha.
Mara mchungaji anaiita ananiambia siwezi kuendelea kusali kwakwe mpaka anifungishe ndoa serikalini .
Lakini hapo hapo kuna mtoto wa mchungaji mmoja na yeye alikuwa ana Kesi same na mimi yule wanamfungisha ndoa ya kifahari mimi wanasema nikafunge ya kiserikali au ofisini kwake.
Kiukweli nikaacha kusali kwake
Bold wapi madamNatamani kujua mtu anaposema hayo maneno kwenye bold huwa anamaanisha nini?
Hapo mwisho kwenye post yako iliyokuwa quoted,nataka nifahamu mtu anasali kwa mtu kwanini?Bold wapi madam
Ukitaka kuwatafuna wamama wa KKKT, penya mpaka uwe mzee wa kanisa au jiunge na kwaya ya uinjikisti.Njoo kkkt huku hakuna majungu Wala uasherati halafu hakuna Yale mambo yakutenga watu sijui wewe unadhambi
Habari.
Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.
Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.
Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.
1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.
2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.
3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.
4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.
5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.
Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
Niliwahi kumtongoza dada mmoja kiongozi wa kwaya ya kanisa moja la kilokole. Siku ya kwanza nimemtoa out jioni tumekaa sehemu, mimi kwa kujistukia nikaagiza soda, yule dada bila aibu akaagiza KONYAGI NDOGO!! Na akaifuta chap wala hajapepesuka. Sitakaa nisahau ile siku karibu nizimie kwa mshangao.Nilimgonga demu mmoja wa kidini dini mazingira hayo hayo ya kidini tena yeye aliniforce nimgonge kimazingira shetwani kabisa yule tena dry ulichosema ni kweli
Wakiona hii wataanza kukuombea toba.Walokole wengi wana tatizo la afya ya akili.Kwa ufupi ni wagonjwa
Kama nilikotoka nimetoka kwasababu watu (hasa viongozi) ni wazinzi, walevi, wanazaa nje nk halafu nakuja kwenye ulokole nakuta tena yale yale, kwanini nisibaki tu kwenye imani yangu maana hakuna tofauti yoyote?Ukisoma neno la Mungu ukalielewa huwezi kuacha imani et kwa sababu mwanakwaya amezaa nje ya ndoa, sijui shemas anatembea na mke wa mtu, safari ya mbinguni ni ya mtu mmoja sio kundi la watu ninaamini kama uliamua kuokoka kuna vitu unavitamani kwenye maisha yako kupitia huo wokovu pambana mpaka uvipate acha kuangalia watu
Saaana hata humu wamo hao wagonjwaWalokole wengi wana tatizo la afya ya akili.Kwa ufupi ni wagonjwa