Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

Niliwahi kumtongoza dada mmoja kiongozi wa kwaya ya kanisa moja la kilokole. Siku ya kwanza nimemtoa out jioni tumekaa sehemu, mimi kwa kujistukia nikaagiza soda, yule dada bila aibu akaagiza KONYAGI NDOGO!! Na akaifuta chap wala hajapepesuka. Sitakaa nisahau ile siku karibu nizimie kwa mshangao.
Alafu??? Ulipga?
 
Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.

Niligombanagana na viongozi wangu walipoona napost status za mwakasege.

Kuwauliza wanasema mwakasege ni MKKKT wakati mimi namuona yuko vizuri kuliko hata walokole wenyewe.
Hakuna aliye mkamilifu kanisa ni nyumba ya kumuabudu Mungu na kumpa sifa ata wachawi huwa wanafika maeneo ya kanisani hakuna mtu wakukufukuza kanisani
 
Ukiwa na mke au gelefrendi mlokole we ndo unaongoza kwa hasara hapa duniani, ni waongo, wanafiki, akili za kushikiwa hawanaga maamuzi yao binafsi, ndo maana ni rahisi kumpa mzigo mchungaji wake na viongozi wengine kanisani, kingine vinajua kujiliza vina machozi mengi na ya karibu, wanaishigi na mapepo nadhani maana kila wakiombeana lazima waanguke kwa mapepo,
Dah hii kali😁😁
 
Hihi ya malasusa au huwajui vema mkuu
Waumini wengi wa sasa kkkt ni tofauti na wale wa miaka ya 2015 kurudi nyuma ukimkwaza muumini haoni shida kuhama au kuanza kwenda kwa mwamposa kkkt nao walianza utaratibu wakuacha kuzika watu wasio fanta ibada kwa sasa naona wanazika yoyote ata ambaye afanyi ibada
 
Pole sana mkuu na madhira yaliyokupata.
Ila kumbuka Ufalme Wa Mungu Duniani unatishia Usalama Wa Ufalme Giza na SHETANI hapa duniani.
Usishangae Sana Kwa hayo madhira unayoyapitia maana huko ndipo ADUI anapopambana napo Sana, Ili takiwa wewe ambaye unajua hichi na kile sio sawa ukemee na Kuwasaidia wahumini wenzanko kwenye kundi. Kumbuka wote mpo Kwa ajili ya Kuujenga mwili Wa Kristo.
 
umesahau makelele yao ya hadi usiku,....
 
Back
Top Bottom