Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

Alafu??? Ulipga?
 
Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.

Niligombanagana na viongozi wangu walipoona napost status za mwakasege.

Kuwauliza wanasema mwakasege ni MKKKT wakati mimi namuona yuko vizuri kuliko hata walokole wenyewe.
Hakuna aliye mkamilifu kanisa ni nyumba ya kumuabudu Mungu na kumpa sifa ata wachawi huwa wanafika maeneo ya kanisani hakuna mtu wakukufukuza kanisani
 
Dah hii kali๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hihi ya malasusa au huwajui vema mkuu
Waumini wengi wa sasa kkkt ni tofauti na wale wa miaka ya 2015 kurudi nyuma ukimkwaza muumini haoni shida kuhama au kuanza kwenda kwa mwamposa kkkt nao walianza utaratibu wakuacha kuzika watu wasio fanta ibada kwa sasa naona wanazika yoyote ata ambaye afanyi ibada
 
Pole sana mkuu na madhira yaliyokupata.
Ila kumbuka Ufalme Wa Mungu Duniani unatishia Usalama Wa Ufalme Giza na SHETANI hapa duniani.
Usishangae Sana Kwa hayo madhira unayoyapitia maana huko ndipo ADUI anapopambana napo Sana, Ili takiwa wewe ambaye unajua hichi na kile sio sawa ukemee na Kuwasaidia wahumini wenzanko kwenye kundi. Kumbuka wote mpo Kwa ajili ya Kuujenga mwili Wa Kristo.
 
umesahau makelele yao ya hadi usiku,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ