Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Hata muda wa kula daz anakua nae? Anamuharibu mtotohuyo mtoto na baba ake hawaachanagi mleta umbe huyo mtoto hayuko chini meza ya RAIS
Yuko pembeni
ha ha ha....uwongo labda kitaa na ofisini,kama ilivyokuwa kwa uhuru kenyata na mzee kenyataH
Hata muda wa kula daz anakua nae? Anamuharibu mtoto
Mzee Kenyatta sr alikuwa anakula kitu? Ndio mwanae nae ni mule mule naonaha ha ha....uwongo labda kitaa na ofisini,kama ilivyokuwa kwa uhuru kenyata na mzee kenyata
Sio bongo duniani kote kiongozi huezi msogelea kiholela ?Kibongo bongo kumfikia mheshimiwa utakuwa tayari uti huna
Unataka kusemaje🤣🤣🤣Aiseee wazungu Mungu awabariki zaidi.
USA Afrika Rais kila anapokaa nyumba kuna afande na walinzi 2
Awabariki kisa wana walinzi wachache au vip ? Ila kumbuka huyo Trump kishakoswa koswa Mara mbili kuuliwa na akiwa na walinzAiseee wazungu Mungu awabariki zaidi.
USA Afrika Rais kila anapokaa nyumba kuna afande na walinzi 2
Mwanangu hata ofisi ya mjumbe wa nyumba 10 hajawahi kufika🤣Wadau hamjamboni nyote?
Mcheki mtoto wa elon musk akiwa ikulu ya white house chini ya meza ya Rais trump!
Toto lake moja bwabwa sijui icho kidogo mungu akilinde kisipende kupumuliwa!!!!Wadau hamjamboni nyote?
Mcheki mtoto wa elon musk akiwa ikulu ya white house chini ya meza ya Rais trump!
Sasa analia niniWadau hamjamboni nyote?
Mcheki mtoto wa elon musk akiwa ikulu ya white house chini ya meza ya Rais trump!
Kwahiyo hii nayo tuitunze au vipi?Huyo mtoto lazima aje kuwa raisi wa Marekani,
Tena akiwa kijana kabisa possibly by earlier 30's
Utashangaa Stive nae kaenda ikulu na mtoto wakeWakwako hujampeleka kwa samia?