Baadhi ya Wamarekani washangazwa n kitendo cha Elon Musk kumpeleka mtoto wake ndani ya Oval House kukutana na Donald Trump

Baadhi ya Wamarekani washangazwa n kitendo cha Elon Musk kumpeleka mtoto wake ndani ya Oval House kukutana na Donald Trump

Dogo anatulizwa hadi na raisi wa dunia asipige kelele ...afu mbona Elon anaongea jambo la msingi sana kimasihara Sihara ...money iz power
 
Wacheni amlinde uyo yule mwengine kachelewa kujua mwisho kavuna Mabua mtoto Shoga na Amejitangaza kabisa na kasema kwakua Babake Kachukia sana Toto limemjibu Babake ikiwezekana naweza Nisitumie Jina lako Wala pia ataki pesa zake!! lkn awachwe agawe kiboga!!!!! Ndio mana Elon musk uyo mtoto kiume kaamua asimwache ovyo ovyo Wazungu nuksi!!
 
Jambo la kawaida Marais wa US kuwakaribisha watoto hapo. Mtakumbuka Obama yeye alikuwa anacheza hadi michezo ya kufichamana na watoto kwenye hiyo ofisi.
 
Hawa wazungu ni watu wenye akili kubwa sana si kila jambo linafanywa kwa bahati mbaya ,hapo wamewekewa mtoto kwa hiyo centre attention ya ubongo wa watu utakuwa kwa kumuangalia mtoto, huku wakisahau kumbe wanapigwa spana na bwana Musk smoothly.
 
Back
Top Bottom