Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎

BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI .

Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika chache tu kusoma barua hii.

Kiongozi kabla ya uchaguzi mkuu wa chama ulikuwa mtu muhimu sana katika chama na nikiri huo umuhimu wako upo , pengo lako tunaliona ndio maana nimewiwa kuandika barua hii ya wazi kwako .

Kiongozi Kuna matukio mengi sana yametokea nchini ambayo sio kawaida tukose tweet mbili tatu kuyahusu na kuna matukio mengi sana ya kichama ambayo hatukuoni wala kuona mchango wako kwa sasa

Kiongozi naomba nikukumbushe tukio la wewe kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti Kanda ya pwani. Wanachama wengi tulikusindikiza kurudisha fomu wengine hata hutufahamu na usisahau hatukukusindikiza kwa sababu ya ukaribu wako na Mbowe tambua hili Kuna wengi tu walipendezwa na Lissu wakati wa uchaguzi na walikuwa wengi tu huenda zaidi ya wafuasi wa mbowe waliokusindikiza . Hivyo tambua tunaokuamini hatukuamini kwasababu yoyote zaidi ya kuwa mwanachama wa chadema na mwenye uwezo mkubwa katika harakati za chama .

Tunatambua umeumia sana kutokana na demokrasia ilivyoamua ila fikiria vizuri sidhani kama mheshimiwa Mbowe anafurahia ukimya wako . Tafadhali ni muda wa kurudi sasa. Tusamehe tuliotoa maneno makali wakati wa uchaguzi wa chama nikiwemo umeniblock kabisa. Uchaguzi umekwisha . Ushapumzika vya kutosha . Pengo lako linakusubiri ulizibe Tafadhali lizibe tusonge mbele.

Nisikuchoshe kwa barua ndefu. Tafadhali rudi kama awali maisha yaendelee

Mwanachama mtiifu wa CHADEMA
Na mwanaharakati wa haki
Assenga.

Screenshot_20250223-072303_2.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Boniface Jacob ni mtu muhimu sana pale Chadema kwenye siasa za field. Nimemuona kwenye matukio muhimu ya kuwasemea wananchi haswa utekaji na ukiukaji wa haki.
Kwa kweli wana haki ya kumpigia magoti huyu ni mpambanaji huwezi kufananisha na wanasiasa wa majukwaani kama kina Heche.
Lilikuwa ni kosa kubwa sana kusema mmemkuta na begi la pesa anagawa hela chooni wakati wa uchaguzi tukaomba picha za ushahidi mpaka leo hazionekani haikuwa fair kuchafua wenzenu kusema wanafanya kazi ya CCM ndani ya chama wameuza chama. Huu mpasuko mmeuunda wenyewe hao ndio wadau muhimu pia wa ku organize pesa.
 
CHADEMA imemaliza uchaguzi ikiwa imegawanyika sana. Jambo ambalo kila mtu alitarajia kutokea kwa sababu waliendesha siasa za kuchafuana ,kupakana matope, kuumizana,kujeruhiana na kudhalilishana wakitegemea kuwa ndio ilikuwa njia ya kupata ushindi. Wakasahau kuwa kuna kazi kubwa ya kujenga chama ambayo ilikuwa inakuja mbele yao. Kazi ya muda mrefu kuliko hata ya uchaguzi wenyewe. Sasa wamebakia na majeraha yasiyopona na yasiyowezwa kuponywa. Chama hakitaweza tena kusimama kwa umoja na mshikamano kama uliokuwepo awali. Ndio sababu kwa sasa wengi wameamua kujikalia kimya
 
Sikutegemea hii team ya Lissu itaiua chadema mapema namna hii.
 
Boniface Jacob ni mtu muhimu sana pale Chadema kwenye siasa za field. Nimemuona kwenye matukio muhimu ya kuwasemea wananchi haswa utekaji na ukiukaji wa haki.
Kwa kweli wana haki ya kumpigia magoti huyu ni mpambanaji huwezi kufananisha na wanasiasa wa majukwaani kama kina Heche.
Lilikuwa ni kosa kubwa sana kusema mmemkuta na begi la pesa anagawa hela chooni wakati wa uchaguzi tukaomba picha za ushahidi mpaka leo hazionekani haikuwa fair kuchafua wenzenu kusema wanafanya kazi ya CCM ndani ya chama wameuza chama. Huu mpasuko mmeuunda wenyewe hao ndio wadau muhimu pia wa ku organize pesa.
Mlinzi wa Mbowe

Sasa anamlinda nyumbani 🐼
 
Hakika ujinga na upuuzi umeingia kwa kasi ya ajabu sana hapa JF na kuua dhana ya "JF the home of great thinkers".
Lucas, tumekukosea nini hadi unatupeleka kwenye ujinga wa kiwango hiki?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎

BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI .

Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika chache tu kusoma barua hii.

Kiongozi kabla ya uchaguzi mkuu wa chama ulikuwa mtu muhimu sana katika chama na nikiri huo umuhimu wako upo , pengo lako tunaliona ndio maana nimewiwa kuandika barua hii ya wazi kwako .

Kiongozi Kuna matukio mengi sana yametokea nchini ambayo sio kawaida tukose tweet mbili tatu kuyahusu na kuna matukio mengi sana ya kichama ambayo hatukuoni wala kuona mchango wako kwa sasa

Kiongozi naomba nikukumbushe tukio la wewe kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti Kanda ya pwani. Wanachama wengi tulikusindikiza kurudisha fomu wengine hata hutufahamu na usisahau hatukukusindikiza kwa sababu ya ukaribu wako na Mbowe tambua hili Kuna wengi tu walipendezwa na Lissu wakati wa uchaguzi na walikuwa wengi tu huenda zaidi ya wafuasi wa mbowe waliokusindikiza . Hivyo tambua tunaokuamini hatukuamini kwasababu yoyote zaidi ya kuwa mwanachama wa chadema na mwenye uwezo mkubwa katika harakati za chama .

Tunatambua umeumia sana kutokana na demokrasia ilivyoamua ila fikiria vizuri sidhani kama mheshimiwa Mbowe anafurahia ukimya wako . Tafadhali ni muda wa kurudi sasa. Tusamehe tuliotoa maneno makali wakati wa uchaguzi wa chama nikiwemo umeniblock kabisa. Uchaguzi umekwisha . Ushapumzika vya kutosha . Pengo lako linakusubiri ulizibe Tafadhali lizibe tusonge mbele.

Nisikuchoshe kwa barua ndefu. Tafadhali rudi kama awali maisha yaendelee

Mwanachama mtiifu wa CHADEMA
Na mwanaharakati wa haki
AssengaView attachment 3245979

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pumbavu
 
Ila wewe jamaa huwa najiuliza huwa unajifanyisha ili kuchangamsha jukwaa au ndiyo kipimo cha akili yako?Maana usajili wa Chadema term hii ni balaa hakuna tena uchawa kama ilivyo CCM, maana walioko wako tayali kwa lolote,iwe jela kutekwa au kupigwa risasi,lakini hakuna kuruhusu michezo ya kinaAbdul ili tu kuwachanganya watanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎

BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI .

Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika chache tu kusoma barua hii.

Kiongozi kabla ya uchaguzi mkuu wa chama ulikuwa mtu muhimu sana katika chama na nikiri huo umuhimu wako upo , pengo lako tunaliona ndio maana nimewiwa kuandika barua hii ya wazi kwako .

Kiongozi Kuna matukio mengi sana yametokea nchini ambayo sio kawaida tukose tweet mbili tatu kuyahusu na kuna matukio mengi sana ya kichama ambayo hatukuoni wala kuona mchango wako kwa sasa

Kiongozi naomba nikukumbushe tukio la wewe kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti Kanda ya pwani. Wanachama wengi tulikusindikiza kurudisha fomu wengine hata hutufahamu na usisahau hatukukusindikiza kwa sababu ya ukaribu wako na Mbowe tambua hili Kuna wengi tu walipendezwa na Lissu wakati wa uchaguzi na walikuwa wengi tu huenda zaidi ya wafuasi wa mbowe waliokusindikiza . Hivyo tambua tunaokuamini hatukuamini kwasababu yoyote zaidi ya kuwa mwanachama wa chadema na mwenye uwezo mkubwa katika harakati za chama .

Tunatambua umeumia sana kutokana na demokrasia ilivyoamua ila fikiria vizuri sidhani kama mheshimiwa Mbowe anafurahia ukimya wako . Tafadhali ni muda wa kurudi sasa. Tusamehe tuliotoa maneno makali wakati wa uchaguzi wa chama nikiwemo umeniblock kabisa. Uchaguzi umekwisha . Ushapumzika vya kutosha . Pengo lako linakusubiri ulizibe Tafadhali lizibe tusonge mbele.

Nisikuchoshe kwa barua ndefu. Tafadhali rudi kama awali maisha yaendelee

Mwanachama mtiifu wa CHADEMA
Na mwanaharakati wa haki
AssengaView attachment 3245979

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukosefu wa kazi ni laana...
 
Back
Top Bottom