Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

Mgawanyiko huo ni kwa maslahi ya chama . Kwa sababu kila mwenye akili Timamu ndani ya CHADEMA anafahamu kuwa lissu hana uwezo wa kuipeleka mbele CHADEMA na ikapata mafanikio na kuimarika.
Kwa sasa CDM imeshakuwa taasisi kubwa haimtegemei mtu bali mifumo yake ya kiutendaji. Ata angepita yoyote nje ya Lisu na Mbowe kwa sasa chama kinakwenda tu
 
Kwa sasa CDM imeshakuwa taasisi kubwa haimtegemei mtu bali mifumo yake ya kiutendaji. Ata angepita yoyote nje ya Lisu na Mbowe kwa sasa chama kinakwenda tu
Endelea kujidanganya wakati mwenzako lissu yupo kulia lia tu na kulalamika kuwa hakuna pesa za kuendeshea chama
 
Endelea kujidanganya wakati mwenzako lissu yupo kulia lia tu na kulalamika kuwa hakuna pesa za kuendeshea chama
Kwani ni uongo ni kweli kabisa hakuna pesa za kuendeshea operation za chama ila falsafa ya mwalimu Nyerere ya ili tuendelee fedha haikuwepo na Lisu hilo analijua ndiyo maana anawahamasisha watu ambao ndiyo msingi wa kwanza fedha ni matokeo ya uongozi bora. Fedha zitakuja tu. Wala kwahilo CDM hawana hofu hata kidogo ila nimuhimu watu wajue.
 
CHADEMA imemaliza uchaguzi ikiwa imegawanyika sana. Jambo ambalo kila mtu alitarajia kutokea kwa sababu waliendesha siasa za kuchafuana ,kupakana matope, kuumizana,kujeruhiana na kudhalilishana wakitegemea kuwa ndio ilikuwa njia ya kupata ushindi. Wakasahau kuwa kuna kazi kubwa ya kujenga chama ambayo ilikuwa inakuja mbele yao. Kazi ya muda mrefu kuliko hata ya uchaguzi wenyewe. Sasa wamebakia na majeraha yasiyopona na yasiyowezwa kuponywa. Chama hakitaweza tena kusimama kwa umoja na mshikamano kama uliokuwepo awali. Ndio sababu kwa sasa wengi wameamua kujikalia kimya
Hata CCM migawanyiko ipo isikutishe Mwashambwa!
 
Back
Top Bottom