Athuman Mintangah
Member
- May 29, 2021
- 79
- 133
Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikwambia tafuta hela nakua nakosea?Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku hapo kwa mume wa dada yako?Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Askofu kumbe na ww vijimaneno unavyo bhana🤣🤣Una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku hapo kwa mume wa dada yako?
Huo ni ushambaSubiri waje na subiri muongozo
Ushamba pro maxSubiri waje na subiri muongozo
Bila kusahau wale wanaoita Kila mtu Chawa , yaani kusifia mazuri ya serikali ni tatizo ila ukiponda wewe ni mjanja . Pumbavu sanaKuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Tena ya baridi na haina sukari! Asije kusingizia ati ni juisi!!!
Tatizo ni ushamba we huoni. Kazi kujaza servers tu za jamiiforumsJ
Hapo ttizo nini sasa
Sawasawa 👍Mimi nashauri ujitenge na hiyo jamii wasikubughudhi
Server zao zinahiji data.....Tatizo ni ushamba we huoni. Kazi kujaza servers tu za jamiiforums
Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII