Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Bila kusahau wale wanaoita Kila mtu Chawa , yaani kusifia mazuri ya serikali ni tatizo ila ukiponda wewe ni mjanja . Pumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…