Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
😔😢 inasikitisha sana.Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
Fear is gone, mambo inaenda kuwa mbaya after thisKwa hii video watu hawaogopi tena!
Biashara nzuri ya kuwekeza sasa ni kuuza silaha.
Wateja wapo kama wote.
Hivi JF ilifunguliwa lini? mi nipo gizani uongo mbaya leo ndiyo nimebahatishaSafi kabisa!! Wawale nyama sasa, WANGESE hawa, miaskari ndio mijitu mipuuzi zaidi, mimi ningekuwa afamde hii kazi ningekuwa nishaacha bora nilime mchicha
Sasa wale kina sarungi, kimambe, sativa wenye choyo zidi ya wazanzibari wako wapi? Waliokuhamasisheni mukaingia kichwa kichwa wamekuja na ajenda Gani sasa?