GE2025 Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi

GE2025 Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Crime against humanity and genocide - wapelekwe ICC wakaface charges zao...Hii ni massacre.
Historia mbaya kabisa kwa Samia,moja kati ya mauaji ya halaiki maarufu duniani ni ile ya Sharpeville massacre ya South Africa enzi za mkaburu na walikufa watu 69 tu,imagine huyo ni mkaburu death count ni hiyo lakini huyu mama kaua watanzania wenzake,wazawa wenzake zaidi ya 3500 bila huruma
 
Back
Top Bottom