PreGE2025 Baadhi ya wananchi walalamika wanafunzi chini ya miaka 18 kuandikishwa kupiga kura, ya serikali za mitaa yanajirudia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!

IMG-20250323-WA0001.jpg

Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
 
Nimerudi na kadi yangu mbovu jamaa wapo slow balaa nimeona napoteza tu muda nina mambo mengi ya kufanya yaani ushinde kituoni asubuhi mpaka jioni waandikishaji wanatembea mwendo wa kobe huku nje lundo la watu kibao
 
Zimeongezwa siku 2, ila kwa kiasi kikubwa usipokomaa hupati kadi... pia kama haina shida huna haja ya kuchukua nyingine
 
Wakuu,

Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!

View attachment 3280441
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
CDM wanaposema No reform No Election mnawaona wandawazimu hii Sisiemu ya sasa hauwezi tena kwenda nayo kwenye uchaguzi hakuna chama tena ni kuahindana na dola
 
Wakuu,

Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!

View attachment 3280441
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!
 
Hao Vijana hawawezi kuipigia CCM ya akina Babu Wassira, lakini who cares? Mama anatangazwa na Tume Feki ya Uchafuzi wa CCM.

Vijana wengi wa Nchi hii wanataka Mabadiliko lakini sote tunayajua yanayofanyika.
 
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!
Nina mpango wa kando ni mwalimu wa sekondari moja hapo Dar,anakwambia kwenye wanafunzi 800 wa O' Level (kidato cha kwanza mpaka cha nne) kwenye shule yake, waliofikisha miaka 18 hawafiki 50!!

Watoto wa O'level miaka hii kwa shule za mjini ni wa miaka 12 mpaka 16, maana wanamaliza darasa la 7 wakiwa wadogo sana.

Hawajatimiza miaka 18 na wala hawatatimiza/kuwa wametimiza 18 hiyo October ya uchaguzi.

CCM ni majizi always!
 
Kwahiyo hao 50 hawana haki ya kuandikishwa?
 
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!
Huna akili
 
Pole sana kwa kuwa na uelewa finyu.
Mwenye akili finyu ni nani? Mimi ninayewatetea waandikishwe kwasababu ni haki yao ambao HAIWEZI kuondolewa na mtu yoyote au yule anayeloloma kama Ananilea kuwa wasiandikishwe na kunyimwa haki yao ya msingi?
 
Wakuu,

Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!

View attachment 3280441
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
Sijui mnawashwagwa sehemu zipi ktk miili yenu. Tuliza huo m we danga
 
Back
Top Bottom