Zimeongezwa siku 2, ila kwa kiasi kikubwa usipokomaa hupati kadi... pia kama haina shida huna haja ya kuchukua nyingineNimerudi na kadi yangu mbovu jamaa wapo slow balaa nimeona napoteza tu muda nina mambo mengi ya kufanya yaani ushinde kituoni asubuhi mpaka jioni waandikishaji wanatembea mwendo wa kobe huku nje lundo la watu kibao
CDM wanaposema No reform No Election mnawaona wandawazimu hii Sisiemu ya sasa hauwezi tena kwenda nayo kwenye uchaguzi hakuna chama tena ni kuahindana na dolaWakuu,
Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!
View attachment 3280441
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!Wakuu,
Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!
View attachment 3280441
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi yanajirudia tena. Uchakachuaji unapangwa mapema!
Kadi yangu mbovu ndio nataka mpyaZimeongezwa siku 2, ila kwa kiasi kikubwa usipokomaa hupati kadi... pia kama haina shida huna haja ya kuchukua nyingine
Wanachukua vitambulisho vya kuombea kazi kwenye viwanda vya Wachina na wanawake ni kuombea mikopo kaushadamu hio ndio agenda kuu nothing elseCCM sio watu kabisa
Nina mpango wa kando ni mwalimu wa sekondari moja hapo Dar,anakwambia kwenye wanafunzi 800 wa O' Level (kidato cha kwanza mpaka cha nne) kwenye shule yake, waliofikisha miaka 18 hawafiki 50!!Uwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!
Kwahiyo hao 50 hawana haki ya kuandikishwa?Nina mpango wa kando ni mwalimu wa sekondari moja hapo Dar,anakwambia kwenye wanafunzi 800 wa O' Level (kidato cha kwanza mpaka cha nne) kwenye shule yake, waliofikisha miaka 18 hawafiki 50!!
Watoto wa O'level miaka hii kwa shule za mjini ni wa miaka 12 mpaka 16, maana wanamaliza darasa la 7 wakiwa wadogo sana.
Hawajatimiza miaka 18 na wala hawatatimiza/kuwa wametimiza 18 hiyo October ya uchaguzi.
CCM ni majizi always!
Huna akiliUwezo wenu mdogo wa kufikiri. Hao ni wanafunzi ndio, lakini kuna wengine wamezidi miaka 18 na wengine watafikisha miaka 18 Oktoba kabla ya uchaguzi. Kwanini wasiandikishwe? Mfano, mwanangu yupo Kidato Cha Tano. Alizaliwa Oktoba 6, 2006. Sasa hivi ni over 18 years old. Watu wajinga kama Mama Ananilea akimuona mwanangu na sare zake za shule anaandikishwa atampiga picha awatumie wafadhili wampe hela za uanaharakati njaa! PUMBAVU!!
Hongera wewe uliyenazo angalau za kwendea toilet! Ahahahahaha!!Huna akili
Pole sana kwa kuwa na uelewa finyu.Kwahiyo hao 50 hawana haki ya kuandikishwa?
Mwenye akili finyu ni nani? Mimi ninayewatetea waandikishwe kwasababu ni haki yao ambao HAIWEZI kuondolewa na mtu yoyote au yule anayeloloma kama Ananilea kuwa wasiandikishwe na kunyimwa haki yao ya msingi?Pole sana kwa kuwa na uelewa finyu.
Sijui mnawashwagwa sehemu zipi ktk miili yenu. Tuliza huo m we dangaWakuu,