Ni ajabu...hawa viumbe ni ngumu kujua hasa wanachokitaka,wakiambiwa ukweli wanadharau wakitumika na kutupwa wanalalamika.unataka waanzaje ? huwezi jua huenda ana nia ya kukuoa kweli moyo wa mtu ni kichaka kinene. mkidanganywa mnakubali mkiambiwa ukweli mnakataa...........................😵😵😵😵
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mapenzi ya kubembelezana kama Wahindi yalishapitwa na wakati, unaomba mzigo leo kama uko poa unakazwa leo leo na kama hutaki unasepa tu kiroho safi.
wakati huo huo wanataka mtu serious, hahahahaha, watatumika sana tu. men will always be menNi ajabu...hawa viumbe ni ngumu kujua hasa wanachokitaka,wakiambiwa ukweli wanadharau wakitumika na kutupwa wanalalamika.
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Hahaaaaaa!
!
Ungekutana na mimi ungejibu swali langu maarufu mno lisemalo "bei gani?", huku nikikushindilia mbili za ushindi.
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Vipi kuhusu huko PM, mimi nipe status ya huko PM, hiyo ndiyo kiu yangu tu basi!Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii