fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Dada nataka nikuie mieYaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada nataka nikuie mieYaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] the rest a namalizia mwenyeweDah,,, siku hizi ukiweka misimbazi tu mezani... kwisha habari yao [emoji4]
Hakuna wanaume wa hivyo, labta huko Dar aiseeee.....Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Unataka utoe baada ya muda gani tangu utongozwe?Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
HV kutongoza kuna formula?Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
WA HIVYO UJUE KAZOEA KUNUNUA ... MANUNUZI HAYAHITAJI KUBEMBELEZA ... NA UKIFANYIWA HIVYO JITATHMINI MWONEKANO WAKO LABDA ANAKUONA KAMA CHAKE FULANIYaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
WAPO WENGINE HAWATAKI LONGOLONGO ... UTASIKIA "SEMA UELEWEKE"HV kutongoza kuna formula?
Kama ww hujapenda hzo approach kuna wenzio they fall inluv with
Nikukonyeze!?Ukinitongoza kwa macho nakuelewa zaidi kuliko maneno mengi.