KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Kuna mtu kamaliza chuo na 21 mkuu degree holder 😁😁😁Yaani wewe hapo huu uzi wako ungekuwa kwenye teens category thread(12-21) years
Kwa maana miaka yako ina-range hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kamaliza chuo na 21 mkuu degree holder 😁😁😁Yaani wewe hapo huu uzi wako ungekuwa kwenye teens category thread(12-21) years
Kwa maana miaka yako ina-range hapo
👍👍👍👋👋umeifanya JF ni status ya WatsApp yako ? kwani si umwandikie huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze acha makasirikoumeifanya JF ni status ya WatsApp yako ? kwani si umwandikie huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapenzi wenu wakifanya jambo zuri, mnawasifia wao specifically. Wakizingua, mnatusema wanaume wote generally.Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga.
Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi, haongei sana wala hana muda wakuzozana lakini mwanaume una kuwa na gubu nani atakutaka ata ukija na magari sikubali.
Pungezi hizi tabia some of men not all men, some of you are so good.
[emoji23][emoji23][emoji23]unaonekana unapitia mapito kwelikweli [emoji23]