Baadhi ya wanaume mnapaswa Kubadilika

Baadhi ya wanaume mnapaswa Kubadilika

Yaani sisi tukae kijiwen tuache kujadili mpira tukujadili wewe? Kweeli? Ni kweli stori za madem zipo lakini huwa ni Kama tangazo tu Kati Kati ya kipindi Hadi tukuone umekatiza ndo tunaulizia huyu manzi ni Dem wa Nani? alafu lazima kunakuaga na muhuni mmoja anadakia anajibu kwa kusema achana nae mal...ya tu huyo watu wanajipigia Kisha stori inabadilishwa tunaachana na wewe tunaendelea na stori zingine
 
'Mwanaume unakuwa hivi ...'

'Mwanaume mzuri yupo vile, hivi na vile ...'

Pussy unawafundisha wanaume kuwa wanaume? unawajua wanaume wewee? definition ya uanaume ipo kwa wanaume wenyewe, pussy unakaa kwa kutulia.
 
Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga.

Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi, haongei sana wala hana muda wakuzozana lakini mwanaume una kuwa na gubu nani atakutaka ata ukija na magari sikubali.

Pungezi hizi tabia some of men not all men, some of you are so good.
Wapenzi wenu wakifanya jambo zuri, mnawasifia wao specifically. Wakizingua, mnatusema wanaume wote generally.

Hebu jaribu kuchannel lawama zako sehemu stahiki
 
Back
Top Bottom