Baadhi ya wanaume ni wanyama sana na haipendezi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari za jioni

Mimi pia ni mwanaume lakini kuna matukio ambayo wanaume wenzangu wana yatenda yanaumiza sana moyo.

Nilibahatika kumuhudumia client mmoja leo kati maongezi yetu ndipo alipo nihadithia history yake kwa urefu sana kiasi kwamba siwezi kumaliza kusimulia yote ila nitaipunguza yasiyo muhimu.

Wapo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye wamezaa nae mwaka jana baada ya miaka kumi kuishi kama wachumba, chazo cha yeye kuzaa ilikuwa mwanaume anataka mtoto dada wa watu akaaza kutukanwa kuwa hazai.

Basi mwaka jana dada huyo akaamua kubeba mimba akajifungua mtoto wa kiume wakawa wanaishi mwanaume akawa anabadilika kila siku ikafikia stage mwanaume ana kaa nje na majirani kuongea akirudi ndani ni kulala.

Mpaka tendo la ndoa dada ndio anaomba na akiomba anapewa kimoja tu akimaliza anaanza kusema amechoka kwahiyo dada anakuwa haridhishwi.

Sasa dada huyo akaona isiwe kesi ngoja nimuulize akimuuliza huyo kaka, hajibu anamuangalia tu anamtishia kuondoka na kumuacha sababu dada kwa sasa hana kazi.

Kipindi yupo na kazi alikuwa ana mjali sana mumewe ananunua ngua ana mpaka kiufupi kamfanyia mengi mpaka sasa hana hela.

Asijue mwenzie ana mchepuko ndio juzi anasikia rafiki wa mumewe akimwambia kuwa jamaa anataka kukuacha, sasa hivi ninavyo ongea huyu dada kapagawa analamika.

Mimi kinachoniumiza ni mtoto ndie atapata shida katika hili huyu dada leo ana kazi aya anataka kuachwa nini atafanya na ikumbukwe mwanaume wakati hana pesa huyu mdada ndie alikuwa ana mstili sana mpka pesa ya dharula anatoa

Sema nini kuna wanaume wanazingua hawafikili dada zao wakifanyiwa kama wao wanavyo wafanyia madada za watu watajisikiaje
 
Sasa ukatili ni upi hapo, we taahira nini? Kupigwa kimoja ni ukatili, kama uwezo umeishia hapo afanyeje sasa? Kwani mchepuko ni ajabu? Kasikia tu anataka kuachwa na yeye kaamini huo uzushi?!
 
Habari za jioni

Mimi pia ni mwanaume lakini kuna matukio ambayo wanaume wenzangu wana yatenda yanaumiza sana moyo.

Nilibahatika kumuhudumia client mmoja leo kati maongezi yetu ndipo alipo nihadithia history yake kwa urefu sana kiasi kwamba siwezi kumaliza kusimulia yote ila nitaipunguza yasiyo muhimu.

Wapo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye wamezaa nae mwaka jana baada ya miaka kumi kuishi kama wachumba, chazo cha yeye kuzaa ilikuwa mwanaume anataka mtoto dada wa watu akaaza kutukanwa kuwa hazai.

Basi mwaka jana dada huyo akaamua kubeba mimba akajifungua mtoto wa kiume wakawa wanaishi mwanaume akawa anabadilika kila siku ikafikia stage mwanaume ana kaa nje na majirani kuongea akirudi ndani ni kulala.

Mpaka tendo la ndoa dada ndio anaomba na akiomba anapewa kimoja tu akimaliza anaanza kusema amechoka kwahiyo dada anakuwa haridhishwi.

Sasa dada huyo akaona isiwe kesi ngoja nimuulize akimuuliza huyo kaka, hajibu anamuangalia tu anamtishia kuondoka na kumuacha sababu dada kwa sasa hana kazi.

Kipindi yupo na kazi alikuwa ana mjali sana mumewe ananunua ngua ana mpaka kiufupi kamfanyia mengi mpaka sasa hana hela.

Asijue mwenzie ana mchepuko ndio juzi anasikia rafiki wa mumewe akimwambia kuwa jamaa anataka kukuacha, sasa hivi ninavyo ongea huyu dada kapagawa analamika.

Mimi kinachoniumiza ni mtoto ndie atapata shida katika hili huyu dada leo ana kazi aya anataka kuachwa nini atafanya na ikumbukwe mwanaume wakati hana pesa huyu mdada ndie alikuwa ana mstili sana mpka pesa ya dharula anatoa

Sema nini kuna wanaume wanazingua hawafikili dada zao wakifanyiwa kama wao wanavyo wafanyia madada za watu watajisikiaje
Sijui uzoefu wako wa kwenye ndoa, ushauri wangu usipende sana kutoa conclusion kwa kusikiliza upande mmoja, hasa upande wa mwanamke. Hata kama anakusimulia huku akitoa machozi!
 
"Ni kigugumizi sasa kwani wakati wa pumba ndiyo umekwisha, Temeke Rap Style sasa ndiyo mwisho kuwakilisha, ni wakati wetu machizi Upanga East tunatisha"
 
Sijui uzoefu wako wa kwenye ndoa, ushauri wangu usipende sana kutoa conclusion kwa kusikiliza upande mmoja, hasa upande wa mwanamke. Hata kama anakusimulia huku akitoa machozi!
Naelewa ilo nilisha ludisha ndoa iliovunjika
 
Ni kosa kubwa sana kuamini machozi ya mwanamke.

Alafu kingine huyo mwana mke ni mpumbavu uchumba gani huo wa miaka 10?

Funzo kwa wanawake ukiona uchumba umedumu kwa mwaka mmoja hiyo ni kengere ya hatari kimbia acha uzuzu.

Mwanaume akisha fanikiwa kukuvua nguo hata mara moja ile thamani aliyo kuwa ana kupa huwa inapungua, sembuse akuvue nguo miaka kumi utakuwa na jambo gani la maana kumbabaisha.
 
Back
Top Bottom