Lakini kwakusema ukweli Bibi, unatuchukia sana sisi wanaume wa Dar, hata sijui tulicho kukosea wallah.....Kuacha domo wazi kama wanayaturu wa stand singida
Sawa mama, basi ulisikia kikwapa chako mwenyewe maana hamna wanamme wasafi tanzania hii kama wa dar. Wqnawake wa mikoani mkifika huku mnapotelea kwetu muulize miss Natafta alivyopotelewa na mwanamke wa mkoani kama wewePigia mstari
Umeshuka Airport hata nauli ya Tax huna? Na kuna Uber siku hizi?Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.
Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.
Mhg hata sjui sababu ni nn?
Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.
Mrs Mshana.
Demiss.
Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
sawa mkuuNdio
MmmhWatakuja hapaa na mapovuuu
Ni kweli kabisa. Ukitaka kuthibitisha has a subuhi kwenye daladala na mwendokasi na wengi ni vijana 15-30+Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.
Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.
Mhg hata sjui sababu ni nn?
Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.
Mrs Mshana.
Demiss.
Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Nimetoka mkoani so lazima nitembee kuangalia mazingira mme wangu ana bonge la gari BMW uwezo wa kunifata anao ila niliamua kuangalia mazingira sijui kuna ambacho tumekoseaUmeshuka Airport hata nauli ya Tax huna? Na kuna Uber siku hizi?
Distance ya kutoka arrival lounge airport mpaka kituo cha daladala ni zaidi ya mita 500 nusu kilometer unepiga kwa mguu sasa isijekuwa tu nawewe ulikuwa unanuka kikwapa.
Mie wa ifakara ,mang'ula acha nigune tuWaguna
Wewe unaweza kutuhakikishia haunuki papuchi na joto hili la dsm..! Wanaume tunavumilia mengi poleni braza #Mshana JrSisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.
Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.
Mhg hata sjui sababu ni nn?
Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.
Mrs Mshana.
Demiss.
Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Umefika saa ngapi kongowe..![emoji3][emoji3][emoji3]Nimetoka mkoani so lazima nitembee kuangalia mazingira mme wangu ana bonge la gari BMW uwezo wa kunifata anao ila niliamua kuangalia mazingira sijui kuna ambacho tumekosea
nawaonea huruma ila nkuombe kitu mrs Mshana ukija mkoani ukikuta hali hiyo usituseme buanaaaa si unajua huku kazi mingi MadamWana majanga sana wanaume wa Dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari hatari aiseeeeeMhh mbona observation iko biased
Mimi hapa niko kwenye Mwendokasi natoke Kivukoni naelekea Shekilango wanawake walionizingira wananuka zaidi ya KIKWAPA yaani kinaitwa KIBEBERU na wengine wamechanganya VUMBA LA SAMAKI+KIBEBERU+ LEAKAGE = ???????.