Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hata sifahamuHio ni six figure au namba nane ?
Hajaiona nahisi hata yeye tulupishana naye mawasiliano alikuwa kwenye kivitz kavaa miwani na busholii kubwaaNyani Ngabu kaiona hii thread?
Huko sipajuiNdio mm wa sabasaba mawenzi
OK,mm huko mwekezaji /kilimo uti wa mgongo tu,ila Ichonde naisikiaHahaj
mimi naishi hapa Ichonde. Kama unapajua.
Ahaa mshana kanizoesha vibaya sana[emoji2][emoji2][emoji2]Sasa dada unategema watu wapo kwenye mihangaiko na jua kali hili ukizingatia vyuma vimekaza ukute watu wananukia?
Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho! Sasa wewe ushazoea Mshana Jr mganga yeye kakaa tu kilingeni kivuli kikubwa mda wote ananukia udi na ubani, unataka na uswazi hayo nayo uyakute? [emoji23]
looh kumbe nipi singida hapa jiraniiiDodoma
My dude Nyani Ngabu umesika kashfa hizi.Hajaiona nahisi hata yeye tulupishana naye mawasiliano alikuwa kwenye kivitz kavaa miwani na busholii kubwaa
Acha tu yaani sina binti basi ukirudi tafrani wangu!kaah!Oooh usjali majukumu kama kawaida weekend mapugi day
Usinichokoze tena..! Nitamwaga mchele afu naita kweleakwelea.Hahahaha wewe wataka saa ulumangie na ugali
Sawa chiefHuko sipajuiOK,mm huko mwekezaji /kilimo uti wa mgongo tu,ila Ichonde naisikia
Hahahah! Wamkoani utawajua wanamshangaa na kuhisia kila mtu kuwa yuko jf.Hajaiona nahisi hata yeye tulupishana naye mawasiliano alikuwa kwenye kivitz kavaa miwani na busholii kubwaa
Poleee sana ningekuwa village ningekutafutia binti mm mpaka huwa nachoka maana nyumba yangu haijawahi kukosa mabinti marafiki hapa nimewaacha watatu nikirud home mm boss hakuna kazi nagusa labda nijisikie kupika tu siku hiyoAcha tu yaani sina binti basi ukirudi tafrani wangu!kaah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapugi day!