Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Shoga angu hongera sana!Mimi hapa Nina wanafunzi sitaki wanipikie akuuu[emoji23] vya primary!nkirudi napika mwenyewe .

Nilisema napumzika mabinti maana wanasumbua jamani!
Naona unakula raha km nyau La kizungu!!
Sanaaa mpaka wengine huwa nawakataa maana nikisafiri week nikirud nyumba kama jalala la tandika
 
Asa ulitaka wajinyunyizie udi na ubani au wanukie marashi ya pemba kama wanaume wa upareni?

Mwanaume kunuka jasho ni ishara ya upambanaji. Kila la kheri wapambanaji wa Dar.
Watumie gwanju/sabuni ya magadi kwa ajili ya kuoga inasaidia kupunguza jasho
 
Hahahaha Aqua vitae pale Na Friends
Kirima ubungo kuku chomaa
we utakuwa wa hukuuu ase ,
alafu kunae kiwanja kipyaaa nyokaa lounge wewe tyuuu cha mdeko,msosi mzuri kwa ma clareee hahaha utaenjoy sanaaaa,we siyo wa singida kweli chamdeko ,???
 
Sanaaa mpaka wengine huwa nawakataa maana nikisafiri week nikirud nyumba kama jalala la tandika
Kaah!pole ushoga wa mjini kazi etiii!

Mi siwezi jamani ushoga huo wa kwenda kulala kwa mtu wiki siku kadhaa au mwezi looh
 
Hao wanaonuka vikwapa watakuwa ni wanaume wa mikoani waliokuja na ng'ombe Pugu machinjioni.
 
Wananuka kwapa? Hilo daladala ulipanda la wanaume tupu pia nadhani walikua wanatoka kazini... Kumbe mnavuliaga maana tuwapaga koni mnanyonya tu
 
Mhh mbona observation iko biased
Mimi hapa niko kwenye Mwendokasi natoke Kivukoni naelekea Shekilango wanawake walionizingira wananuka zaidi ya KIKWAPA yaani kinaitwa KIBEBERU na wengine wamechanganya VUMBA LA SAMAKI+KIBEBERU+ LEAKAGE = ???????.
Kuna siku nilipanda hiyo ya kutoka kivukoni aisee wale samaki wana harufu si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…