Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #121
Sanaaa mpaka wengine huwa nawakataa maana nikisafiri week nikirud nyumba kama jalala la tandikaShoga angu hongera sana!Mimi hapa Nina wanafunzi sitaki wanipikie akuuu[emoji23] vya primary!nkirudi napika mwenyewe .
Nilisema napumzika mabinti maana wanasumbua jamani!
Naona unakula raha km nyau La kizungu!!