Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).
Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?
Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla
Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.
Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.
Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.
Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?
Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.
Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?
Nawasilisha.