kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
wanaoshabikia haya mambo ni WANGESE NASA!!Nyie mnaotetea hili kwa wanawake kwenda nusu uchi ujue hawa dada zao au wake zao wanatabia hiyo, sisi watz tunatabia moja, ya kufosi ushabiki, hata jambo liko kinyume ya sheria, kisa wengine kuogopa aibu, walichonacho, ukristo waulaya, hii tabia hawana, yakwenda nusu uchi.