Baadhi ya wanawake kuvaa nguo zinazoonesha maungio yao kwenye nyumba za ibada tatizo ni nini?

Kila mmoja anaenda sehemu ya ibada na nia yake.

Wewe ulienda kuomba Mungu pengine yeye alienda kutafuta mume. Biashara ni matangazo.

As long as hakuja kukukalia ama kukuomba umshike basi wewe shinda moyo wako na ufiche macho yako kwa kuombea shida zako kwa nguvu zote. Hayo mengine hutayaona.
Ni sawa lakini haya lazima yapigwe hawezekani kwa kauli yako hii, mtu avae tu anavyotaka yeye, kisa hujaja kumtizama yeye, ukristo ndo unazidi kujimaliza hv . Mbona waislamu wanasheria zao, za kuingia msiktini??
 
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.

Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).

Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?

Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla

Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.

Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.

Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.

Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?

Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.

Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?

Nawasilisha.
Bila picha hutaeleweka
 
Siku hizi popote penye mkusanyika hutumika na wadada wauza uchi kujitafutia wateja wapya kwa ajili ya biashara zao,hata misikitini kusingekuwa na sheria kali napo wangekuwepo.
 
Kila mmoja anaenda sehemu ya ibada na nia yake.

Wewe ulienda kuomba Mungu pengine yeye alienda kutafuta mume. Biashara ni matangazo.

As long as hakuja kukukalia ama kukuomba umshike basi wewe shinda moyo wako na ufiche macho yako kwa kuombea shida zako kwa nguvu zote. Hayo mengine hutayaona.
Ya kwamba mme huwa anatafutwa kwa kuvaa vimini hii mbona ni mpya?😃😃😃😃😀😃.
Kwa hiyo ww mmeo uliye naye ulimpata baada ya baada ya kumtangazia mapaja yako yalivyo kwa kumvalia kumini?
 
Bwashee sifiri mashoga mimi. Acha kufosi mambo basi.

Kina Diddy wapo wengi, wapelekee nyero yako iliyooza wakufirimbe.
 
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.

Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).

Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?

Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla

Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.

Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.

Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.

Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?

Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.

Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?

Nawasilisha.
Ungekuja na ushahidi wa picha mkuu
 
"Mungu anaangalia moyo na si mavazi "

Ipo siku watu wataanza kuingia na chupi pekee na hakuna atakaye mwambia mtu kitu, maana dini ikikosa standards kinachobaki ni aibu.
 
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.

Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).

Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?

Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla

Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.

Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.

Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.

Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?

Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.

Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?

Nawasilisha.
una pepo
 
wametumwa na shetan kuwakwaza wa2 wa MUNGU!!
 
Mkuu inawezekana na wewe unahitaji kupelekwa mbele kwa mtumishi kuombewa.
 
Back
Top Bottom