Baadhi ya wanawake kuvaa nguo zinazoonesha maungio yao kwenye nyumba za ibada tatizo ni nini?

wanaoshabikia haya mambo ni WANGESE NASA!!
 
Sasamtu mmoja kavaa anavyojua yeye, ndiye anikoseshe nisiabudu ibada yangu? Yeye atajuana na Mungu wake , kwamaana hana mbigu ya kuniweka, naa Wala sitetei wahusika watahusika naye huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…