Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. ukishamuweka vizuri hakuna tatizoMwanamke huyo si mpaka awe na tabia za kizungu. Gombana na demu wa Tandika au Keko kama hajakuitia Vigoma vya kukunyali baada ya kuachana.[emoji23][emoji23][emoji23] Yani gomvi lazma liwe kubwa.
Hapo kwenye kuacha good memories upo sahahi. huwa najitahidi sana kutengeneza legacy nzuri na wanawake ninaotokanao.Mkuu nachoweza kusema ni kuwa you have a right selection of women na pia huwa unaacha good memories to them. Hicho ndio kinakusaidia yani ila kama ungekuwa unagongaga malaya malaya ambao hawajielewi hata maisha yao wanayaendeshaje story would be different.
"... tujitahidi tuwe na marafiki wenye faida" jua kuwa ikiwa yeye ni faida kwako maana yake wewe ni hasara kwake. means: ni win-lose situation!Sijasoma bandiko lote ila nachoweza kusema baadhi ya wanawake niwepesi sana kumsaidia mtu ....sisi wanaume badhibyetu wazito sana cjui kwanini .... pia tujifunze tujitahidi kuwa na urafiki wenye faida ... marafiki wengi wasio na msaada ni hasara hasa kwa hapa mjini
kwanini ndg?.
Mbaya zaidi mwana anakuhaidi ukijua kabisa hawezi kukutosa. ikifika mida unampgia simu, hapokei, anazima au anakupiga blacklist kwa mda. noma sana aisee.smarte_r hilo kweli mzee wana si wana asee ukizidisha simu anakulima block kwa siku kadhaa ndiyo maana inabidi uwe na wana wa kuwakopesha si wote
Mkuu hata sisi wanaume kwa wanaume ni roho mbaya kama yote kama alivyosema mleta mada hapo, wanaume aliowasailiana nao hawakumsaidia kasaidiwa na wanawakeNi kawaida kukuta jinsia tofauti zikisaidiana kazi ipo kwa wanawake na wanawake, wanaume kwa wanaume
Kaz ipo zaidi ke kwa ke, roho mbaya kama yote
Wana sio [emoji1787][emoji1787] waliwahi nilaza stand mbwa wale , mpaka sasa ili mwana nimkopeshe nazingatia kama aliwahi nikopesha alafu hakuwa na mlolongo hapo safi ila hawa wa kuna issue nasikilizia [emoji24][emoji24] sitaki mazoea kwenye dolari zangu aiseembaya zaidi mwana anakuhaidi ukijua kabisa hawezi kukutosa. ikifika mida unampgia simu, hapokei, anazima au anakupiga blacklist kwa mda. noma sana aisee.
very trueMkuu hata sisi wanaume kwa wanaume ni roho mbaya kama yote kama alivyosema mleta mada hapo, wanaume aliowasailiana nao hawakumsaidia kasaidiwa na wanawake
Nilichojifunza hapa ni kuomba msaada kutoka kwa mwanamke anayejielewa, maana hata mleta mada inaonyesha kabisa wanawake aliowaomba msaada ni waelewa
Kweli kabisahapo kwenye kuacha good memories upo sahahi. huwa najitahidi sana kutengeneza legacy nzuri na wanawake ninaotokanao.
mapungufu kila mtu anayo ila isiwe sababu ya kutomfanyia mtu wema.
kuna siku nilikuwahi kukaa bar na rafiki yangu mmoja tukila kilaji. jamaa yake akawa anampigia simu kuomba amuazime pesa.Wana sio [emoji1787][emoji1787] waliwahi nilaza stand mbwa wale , mpaka sasa ili mwana nimkopeshe nazingatia kama aliwahi nikopesha alafu hakuwa na mlolongo hapo safi ila hawa wa kuna issue nasikilizia [emoji24][emoji24] sitaki mazoea kwenye dolari zangu aisee
Oky ...nlimanisha marafiki wenye faida kwa maana wewe ukiwa na uhitaji atakusaidia na wew pia"... tujitahidi tuwe na marafiki wenye faida" jua kuwa ikiwa yeye ni faida kwako maana yake wewe ni hasara kwake. means: ni win-lose situation!
Jesus is Lord
Ndio, kwa fikra zako.imekuuma?.