Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu 10 ya huyo dogo. Kulikuwa na haja gani ya kutoa AHADI HEWA kwa mtu mwenye NJAA KALI?nimekutapeli nini ndg?.
umejuaje kwamba huyo ni dogo?.Elfu 10 ya huyo dogo. Kulikuwa na haja gani ya kutoa AHADI HEWA kwa mtu mwenye NJAA KALI?
Kumbe bado tu hujamtumia hadi sasa? Hahahaa, dunia ina mambo hii.umejuaje kwamba huyo ni dogo?.
umejuaje ana njaa kali?.
mnafahamiana nje ya JF?.
nikihisi kwamba wewe ndio huyo jamaa, ila umeamua kuja na ID nyingine,nitakosea?.
Ahadi Hewa?.
jibu kwanza maswali yangu. umejuaje huyo ni dogo?....umejuaje ana njaa kali?.Kumbe bado tu hujamtumia hadi sasa? Hahahaa, dunia ina mambo hii.
Ukifuatilia nyuzi zangu humu utangudua mimi ni MPENDA HAKI, vita vyangu ni dhidi ya WABABAISHAJI TU. Hakukua na haja ya kutoa AHADI HEWA kwa dogo aliyekuomba elfu 10. Kwa akili yako unadhani kuna mtu mzima anaweza kuomba pesa ya kula HADHARANI?jibu kwanza maswali yangu. umejuaje huyo ni dogo?....umejuaje ana njaa kali?.
BTW ndio sijakutumia,na sikutumii.
rudia kutumia ID yako unayoitumia kuomba watu pesa hapa JF.
sina muda wa kufungua profile ya mtu hapa jf ili nifatilie anapost nini au huwa anapigania nini. your agendas and anything you fight for on jf is non of my business.Ukifuatilia nyuzi zangu humu utangudua mimi ni MPENDA HAKI, vita vyangu ni dhidi ya WABABAISHAJI TU. Hakukua na haja ya kutoa AHADI HEWA kwa dogo aliyekuomba elfu 10. Kwa akili yako unadhani kuna mtu mzima anaweza kuomba pesa ya kula HADHARANI?
Acha kudanganya watu wewe, tatizo humu JF kila mtoto anajifanya ana pesa na maisha mazuri. Kumbe unaishi kwa SHEMEJI tu.sina muda wa kufungua profile ya mtu hapa jf ili ningundue/nichunguze/nifatilie anapost nini au huwa anapigania nini. your agendas and anything you fight for on jf is non of my business.
kwanini ni wewe pekee unaonekana kuumia zaidi na suala hili kuliko mtu mwingine yoyote?.
tukisema una maslahi mapana na anayeonekana kuomba msaada, tutakuwa tumekosea?.
kwanini tusihisi hivyo?.
Kabisa mie siombagi hela wanawake wenzangu ...najua kunipa hatanipa na mwisho nitaishiwa kusemwa.Ni kawaida kukuta jinsia tofauti zikisaidiana kazi ipo kwa wanawake na wanawake, wanaume kwa wanaume
Kaz ipo zaidi ke kwa ke, roho mbaya kama yote
ukikwama tuombe sisi wanaume, tutakupa tu kiroho safi.Kabisa mie siombagi hela wanawake wenzangu ...najua kunipa hatanipa na mwisho nitaishiwa kusemwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]duhhWana sio [emoji1787][emoji1787] waliwahi nilaza stand mbwa wale , mpaka sasa ili mwana nimkopeshe nazingatia kama aliwahi nikopesha alafu hakuwa na mlolongo hapo safi ila hawa wa kuna issue nasikilizia [emoji24][emoji24] sitaki mazoea kwenye dolari zangu aisee
Daaahhh...!!!kuna siku nilikuwahi kukaa bar na rafiki yangu mmoja tukila kilaji. jamaa yake akawa anampigia simu kuomba amuazime pesa.
akawa ana enjoy ile hali ya kupigiwa simu na jamaa yake. mbaya zaidi alikuwa anamuweka loud speaker huku akimpa ahadi za uongo.
alikuwa anamwambia asijari atamtumia baada ya nusu saa, akikata simu anaanza kumsema vibaya mbele yetu. akawa anasena "huyu fala kazidi, tangu jana ananisumbua, acha nimkomeshe".
ikifika nusu saa, jamaa yake anapiga tena kukumbushia, mwendo ni uleule, anapewa ahadi hewa na kusimangwa baada ya mazungumzo yao.
nilijisikia vibaya sana.
Some people have no guilt conscienceHakuna kitu kina dissapoint kama kushindwa kumsaidia mtu ambaye huwa ni 'life saver wako' every and now then, huwa najiskia hadi kuumwa,
Na nikifanikiwa kumsaidia mtu najiskia raha ya ajabu moyoni..!
the good thing kuhusu kuwa mtoaji ni ile baraka hukukuta siku ikiwa umekwama, yaani kuna muujiza hutokea unajipata umesaidika, mpaka unashangaa how did that sh*t happen..?
Yaah hua naomba ndugu au marafiki wa kiume .ukikwama tuombe sisi wanaume, tutakupa tu kiroho safi.
but sometimes inategemea na mwanaume unayemuomba, anaweza akawa hana, akaishia kukupiga ahadi hewa au anaweza akawa anayo ila hajisikii kukutumia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa. Hapa nilipo nilikwama kwa week nzima washkaji wote niliowapigia hakuna aliyenisaidia zaidi ya ma ex girlfriend ambai wote ni wake za watu.
Heshima kwenu ex mna nafasi yenu kubwa sana kwangu.
Tunaishi leo bro! Kesho itajisumbukia yenyewe.Tujifunze kuweka akiba itayotuwezesha ishi angalau miezi 3 huku tukijipanga