Baadhi ya Wanawake ni Binadamu wa pekee sana, nawapa Pongezi muishi miaka mingi ya Kobe

Mwanamke huyo si mpaka awe na tabia za kizungu. Gombana na demu wa Tandika au Keko kama hajakuitia Vigoma vya kukunyali baada ya kuachana.[emoji23][emoji23][emoji23] Yani gomvi lazma liwe kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. ukishamuweka vizuri hakuna tatizo

Mkigombana siku zikipita mtumie pesa hata kama haupo nae.. au mpigie kumjulia hali tu

Siku hizi maisha yamekuwa mafupi sana kuishi na vinyongo.. hao watandika mimi ndo ninao wengi maana ndo watamu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo kwenye kuacha good memories upo sahahi. huwa najitahidi sana kutengeneza legacy nzuri na wanawake ninaotokanao.

Mapungufu kila mtu anayo ila isiwe sababu ya kutomfanyia mtu wema.
 
"... tujitahidi tuwe na marafiki wenye faida" jua kuwa ikiwa yeye ni faida kwako maana yake wewe ni hasara kwake. means: ni win-lose situation!


Jesus is Lord
 
smarte_r hilo kweli mzee wana si wana asee ukizidisha simu anakulima block kwa siku kadhaa ndiyo maana inabidi uwe na wana wa kuwakopesha si wote
Mbaya zaidi mwana anakuhaidi ukijua kabisa hawezi kukutosa. ikifika mida unampgia simu, hapokei, anazima au anakupiga blacklist kwa mda. noma sana aisee.
 
Ni kawaida kukuta jinsia tofauti zikisaidiana kazi ipo kwa wanawake na wanawake, wanaume kwa wanaume

Kaz ipo zaidi ke kwa ke, roho mbaya kama yote
Mkuu hata sisi wanaume kwa wanaume ni roho mbaya kama yote kama alivyosema mleta mada hapo, wanaume aliowasailiana nao hawakumsaidia kasaidiwa na wanawake

Nilichojifunza hapa ni kuomba msaada kutoka kwa mwanamke anayejielewa, maana hata mleta mada inaonyesha kabisa wanawake aliowaomba msaada ni waelewa
 
mbaya zaidi mwana anakuhaidi ukijua kabisa hawezi kukutosa. ikifika mida unampgia simu, hapokei, anazima au anakupiga blacklist kwa mda. noma sana aisee.
Wana sio [emoji1787][emoji1787] waliwahi nilaza stand mbwa wale , mpaka sasa ili mwana nimkopeshe nazingatia kama aliwahi nikopesha alafu hakuwa na mlolongo hapo safi ila hawa wa kuna issue nasikilizia [emoji24][emoji24] sitaki mazoea kwenye dolari zangu aisee
 
v
very true
 
Ni
hapo kwenye kuacha good memories upo sahahi. huwa najitahidi sana kutengeneza legacy nzuri na wanawake ninaotokanao.

mapungufu kila mtu anayo ila isiwe sababu ya kutomfanyia mtu wema.
Kweli kabisa
 
kuna siku nilikuwahi kukaa bar na rafiki yangu mmoja tukila kilaji. jamaa yake akawa anampigia simu kuomba amuazime pesa.

akawa ana enjoy ile hali ya kupigiwa simu na jamaa yake. mbaya zaidi alikuwa anamuweka loud speaker huku akimpa ahadi za uongo.

alikuwa anamwambia asijari atamtumia baada ya nusu saa, akikata simu anaanza kumsema vibaya mbele yetu. akawa anasena "huyu fala kazidi, tangu jana ananisumbua, acha nimkomeshe".

ikifika nusu saa, jamaa yake anapiga tena kukumbushia, mwendo ni uleule, anapewa ahadi hewa na kusimangwa baada ya mazungumzo yao.

nilijisikia vibaya sana.
 
"... tujitahidi tuwe na marafiki wenye faida" jua kuwa ikiwa yeye ni faida kwako maana yake wewe ni hasara kwake. means: ni win-lose situation!


Jesus is Lord
Oky ...nlimanisha marafiki wenye faida kwa maana wewe ukiwa na uhitaji atakusaidia na wew pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…