Baadhi ya Wanawake ni Binadamu wa pekee sana, nawapa Pongezi muishi miaka mingi ya Kobe

Hakuna kitu kina dissapoint kama kushindwa kumsaidia mtu ambaye huwa ni 'life saver wako' every and now then, huwa najiskia hadi kuumwa,
Na nikifanikiwa kumsaidia mtu najiskia raha ya ajabu moyoni..!

the good thing kuhusu kuwa mtoaji ni ile baraka hukukuta siku ikiwa umekwama, yaani kuna muujiza hutokea unajipata umesaidika, mpaka unashangaa how did that sh*t happen..?
 
huyu housewife kwa sasa ni mke wa mtu. nilikuwa nadate nae zamani kabla hajaolewa. kwa sasa amebaki kuwa rafiki yangu wa kawaida, siku mojamoja huwa tunapigiana simu kujuliana hali.mumewe ni boss katika shirika fulani.
Daah, mimi ni bosi kwenye shirika flani na wa ndani wangu ni housewife na pia hatuishi kujenga na mara zote hela za ujenzi namuachia yeye. Kijana angalia nitakutoa naniliu🙄
 
Sawasawa mkuu..
 
Of Ofisi yenu tamu sana yani unatumia perdiems au pesa ya kazi kwa mambo yako binafsi halafu ofisi inakuongezea nyingine. Nipe nchongo basi njomba
Jamaa ana bahati Sana.
 
Daah, mimi ni bosi kwenye shirika flani na wa ndani wangu ni housewife na pia hatuishi kujenga na mara zote hela za ujenzi namuachia yeye. Kijana angalia nitakutoa naniliu[emoji849]
basi sawa ndg.
 
Mkuu, kilichokuokoa ni kuwa na mahusiano na wanawake wengi wanaojiweza, siyo hivi visichana hivi!
 
Mimi nimeona vitu viwili tu hapa mkuu :
1. Uliishi vizuri sana na hawa wanawake (Mwanamke usiye na undugu naye hawezi kukusaidia bure)
2. Unafanya machaguo sahihi sana ya wanawake (Hawa wanawake ni waungwana sana)

NB: Japo jambo muhimu tu braza, ni kuepuka kuzungumza sana na Ma-Ex ambao ni wake za watu......
 
Huo ni ukweli, Bora umsaidie mwanamke ukikwama anaweza akakusaidia
 

umezungumza jambo la ukweli. huwa najitahidi kuchagua machaguo sahihi, lakini pia kuishi nao vizuri wakati wa mahusisno.

kuhusu point yako ya mwisho ya ma eX zangu ambao kwa sasa ni wake za watu, nimeanza kuifanyia kazi.
 
umezungumza jambo la ukweli. huwa najitahidi kuchagua machaguo sahihi, lakini pia kuishi nao vizuri wakati wa mahusisno.

kuhusu point yako ya mwisho ya ma eX zangu ambao kwa sasa ni wake za watu, nimeanza kuifanyia kazi.
Power to you brother.....
Keep the good spirit alive.......
 
Sikuzote mwanaume ukitaka ufanikiwe kimaisha jenga urafiki wenye ushikaji na wanawake... Mwanaume mwenzako akiwa na deal atakuambia juu juu tu tena ukimuuliza zaidi anakuwekea longolongo nyingi... Mwanamke akiwa na deal lake lazima akushirikishe na akiona deal fulani litakusaidia kimaisha anakunjua roho anakupa details zote ushindwe mwenyew tu... Ktk maisha yangu mimi sina rafik ambae ni mwanaume mwenzangu, ila nina marafik wanawake tu wengine wameolewa wengine single. Nimepata deals nyingi kupitia hawa wanawake, wanaume wenzangu wanaishia kusema mimi ni malaya napendwa na wanawake nawajibu sawa tu... Wanawake wana akili sana za kimaisha kuliko sisi wanaume ni vile wanauoga mwingi ktk kuthubutu... Wanaume tuna akili ndogo sana ya maisha ila tuna uthubutu...
 
comment iliyojaa uzito mwingi ktk uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…